Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

Buriani Rosemary Kambarage Nyerere

Umenijibu kama vile mimi ni mtoto mdogo wa mtaani. Naomba usinionehivyo; mimi ni mwalimu wa vyuo vikuu kwa takriban miaka 34 sasa. Nimeshafundisha siyo Tanzania tu, bali hata New Zealand, na sasa Marekani, kwa hiyo haya maoni yako ya mawazo ya kimaskini weusi wenye wivu siyo kweli kabisa. Nimeshasidia vijana wa watanzania wengi sana kusoma marekani, na wengine wao leo ni maprofesa hukuhuku marekani. Kwa hiyo jua kuwa mimi siyo maskini, na vile vile ninafurahi sana kusaidia wengine wafikie hapa nilipo.

Napenda uelewe tena kuwa katika elimu usitegemee kupewa maksi za kushinda kwa mambo ya kukariri ukadhani kuwa hiyo ndiyo elimu, kazi ya elimu kukujenga skills za kutafsiri unayofundishwa darasani ili kuyafanya yatatue matatizo halisi ya maisha. Kama nilikufundisha kuwa mashine moja ya 240V: 250kW utatumia transformer yenye current capacity kiasi gani, ninategemea pia kuwa nikuuliza mashine tano za namna hiyo utatumia transformer ya namna gani. Siyo ukariri jibu la mashine moja tu. Iwapo ungekuwa mwanafunzi wangu na una attitude hii, ni kweli ningekukamata na kuchekelea sana. Chuo kikuu siyo choo ambacho hata inzi anaweza kuingia na kutoka!

Ongera sana kwa kusaidia watanzania na kuwa mwalimu kwa muda mrefu. Kufundisha kwako nchi mbalimbali kunaonyesha jinsi ulivyo fair. Huku Marekani watakufukuza tu kama sio fair.

Kulikuwa na complications za ufundishaji katika vyuo vyetu kati ya miaka ya 70,80,90... zingine zilitokana na legacy za kikoloni....zingine zilitokana na kuwa taasisi zenyewe zilikuwa mpya na kulikuwa hakuna local traditions....na zingine zilitokana na sera za elimu.
 
Katika Jambo ambalo Nyerere alikosea ni Kuruhusu mambo ya kipuuzi kama haya pia Yatokee kwa watoto zake lakini pia Hakufanya jitihada za wazi kuwainua watoto zake kabisaa.. leo hii mtoto wa mwinyi anakuwa Rais wa nyerere hata Ubunge anakosaa...!! Legacy ya Urais aliondoka nayo mwenyewe watoto zake hawakufaidika hata kiodgo na potential ya baba yao mpaka Inafikia kipindi Lectures wanamdico mtoto wa Rais[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasema wangetafuta kazi ya Kufanyaa maza fakazzz tena sio tanzania idiots kabisaa... uprofesa ushuzi huko huko kwao.
Sasa hapo unakuwa huna tofauti na huyu "jamaa" wa Sasa[emoji1][emoji115]
 
Umenijibu kama vile mimi ni mtoto mdogo wa mtaani. Naomba usinionehivyo; mimi ni mwalimu wa vyuo vikuu kwa takriban miaka 34 sasa. Nimeshafundisha siyo Tanzania tu, bali hata New Zealand, na sasa Marekani, kwa hiyo haya maoni yako ya mawazo ya kimaskini weusi wenye wivu siyo kweli kabisa. Nimeshasidia vijana wa watanzania wengi sana kusoma marekani, na wengine wao leo ni maprofesa hukuhuku marekani. Kwa hiyo jua kuwa mimi siyo maskini, na vile vile ninafurahi sana kusaidia wengine wafikie hapa nilipo.

Napenda uelewe tena kuwa katika elimu usitegemee kupewa maksi za kushinda kwa mambo ya kukariri ukadhani kuwa hiyo ndiyo elimu, kazi ya elimu kukujenga skills za kutafsiri unayofundishwa darasani ili kuyafanya yatatue matatizo halisi ya maisha. Kama nilikufundisha kuwa mashine moja ya 240V: 250kW utatumia transformer yenye current capacity kiasi gani, ninategemea pia kuwa nikuuliza mashine tano za namna hiyo utatumia transformer ya namna gani. Siyo ukariri jibu la mashine moja tu. Iwapo ungekuwa mwanafunzi wangu na una attitude hii, ni kweli ningekukamata na kuchekelea sana. Chuo kikuu siyo choo ambacho hata inzi anaweza kuingia na kutoka!
We mpiganaji wa vita ya kagera kumbe ni mkufunzi hongera kwa kuwa na mawazo ya kujindeleza bila hivyo ungekuwa unagogengea glass za bia kama wapiganaji wenzako.
 
Pole sana.
Wanaacha kufa wale tuliotegemea wanaenda kufa wengine kabisa ambao hatukutegemea

..kuongezea tu, mwaka 1982 pamoja na Muhimbili kuwa ni Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam, yaani Chancellor, alikuwa Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Na bado jamaa wakala kichwa! Siku hizi ukimpa tu supplentary ndugu wa mchepuko wa boss/dean DVC/VC basi ujiandE, hakuna rangi utaacha kuziona😂😂😂! Sembuse chancellor mwenyewe na rais wa nchi, hujjpendi ww!?
 
Maprofesa wa Muhimbili ndio hao wanaopata uprofesa kwa utaratibu wa annual increment. Ni watu waliojipa utukufu au umungu-mtu toka siku nyingi. Soma cv zao. Mtu anaajiriwa akiwa na degree ya kwanza anaanza na cheo cha lecturer, ukiuliza utaambiwa MD ni zaidi ya digrii ya kwanza! Mtu mwenye masters degree anapewa uprofesa, ukiuliza utaambiwa "masters ya medicine ni zaidi ya PhD". Usitarajie maprofesa wenye arrogance ya aina hii wafurahie kuona mtu akikaribia kuwafikia kitaaluma, lazima wafanye figisu.
Nadhani mpaka sasa hivi ni Muhimbili pekee ndiko kwenye maprofesa wasiokuwa na PhD.
Unaweza nitajia ma-profesa angalau wawili wa muhimbili wasiokuwana PhD
 
Sasa hapo unakuwa huna tofauti na huyu "jamaa" wa Sasa[emoji1][emoji115]
Acha ichokozi ww! Jamaa gani wa sasa, kama unaongelea Magu, basi ni wazi humjui kabisaàaaa! Magu ni kama clone ya nyerere!
 
Bro, sijakujibu wewe; nazungumzia hayo mawazo na mipango ya hao walimu wa chuo kikuu. Wewe umeandika kile kilichokua kinafanyika vyuoni, ukweli ni maeneo mengi. Ukiingia hata ofisi za serikali nyingi hata sasa, sio watu wa kutatua shida bali wanatengeneza ugumu wa wewe kupata solution ya tatizo, mfano hata TRA leo hi, the way wanavyo kusanya KODI is as if hawataki biashara ziendelee. Unajua hadi mwaka 1998 idadi ya wahasibu walikua na CPA (T) nchi nzima walikua hawafiki 3000? Sasa hiyo kama sio roho mbaya ni kitu gani?

Siamini kwamba wote wale walikua wanafeli eti hawakua na uwezo, sio kweli; baadhi yao hao walio disco vyuo vyetu wamekwenda nje ya nchi na wakawa the bet students, shida sio KUKARIRI; tunalo tatizo period
Mhadhiri au mwalimu akifundisha halafu wanafunzi wengi wakafeli huyo mwalimu ndiye hajui kufundisha na si tatizo la wanafunzi.
 
Na bado jamaa wakala kichwa! Siku hizi ukimpa tu supplentary ndugu wa mchepuko wa boss/dean DVC/VC basi ujiandE, hakuna rangi utaacha kuziona[emoji23][emoji23][emoji23]! Sembuse chancellor mwenyewe na rais wa nchi, hujjpendi ww!?
[emoji42][emoji42]
 
Sisi tulisoma na kaka yake anaitwa Magige UDSM huwezi kujua ni mtoto wa Rais. Tulikuwa tunapanga naye mstari wakati wa chakula kwenye cafeteria pale UDSM inayoitwa Manseze.
 
Katika Jambo ambalo Nyerere alikosea ni Kuruhusu mambo ya kipuuzi kama haya pia Yatokee kwa watoto zake lakini pia Hakufanya jitihada za wazi kuwainua watoto zake kabisaa.. leo hii mtoto wa mwinyi anakuwa Rais wa nyerere hata Ubunge anakosaa...!! Legacy ya Urais aliondoka nayo mwenyewe watoto zake hawakufaidika hata kiodgo na potential ya baba yao mpaka Inafikia kipindi Lectures wanamdico mtoto wa Rais[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasema wangetafuta kazi ya Kufanyaa maza fakazzz tena sio tanzania idiots kabisaa... uprofesa ushuzi huko huko kwao.
Nyerere alikuwa sahihi.....

Uongozi huzaliwa pamoja na mtu.....

Kuwa mtoto wa Rais haimaanishi kuwa utakuwa Rais.
 
Zamani sana UDSM Electrical Engineering tulikuwa na mwalimu mmoja anaitwa Mkolela. Yeye alikuwa na falsafa kuwa Chuo Kikuu siyo chooni ambako kila mtu anaweza kuingia na kutoka! Aliwahi kukamata robo tatu ya darasa lote waka-supp! Halafu hakuingiliwa na uongozi katika maamuzi yake hayo.

..UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.

..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.

..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.

..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.

..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.

..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?

..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.

..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.

..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?

cc Zakumi, Mazindu Msambule
 
Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.
Wengine walibadili course walienda mfano Morogoro -University of DSM faculty of agricultural sciences kwa kudai kulikua na fursa zaidi unajua tena mambo ya makundi, wengine waliacha kwa sababu tofauti mfano course ngumu hasa mambo ya ku-dissect cadaver
 
Unaweza nitajia ma-profesa angalau wawili wa muhimbili wasiokuwana PhD
Umetaka nikutajie maprofesa angalau wawili wa Muhimbili wasiokuwa na PhD. Nimefanya homework yangu, nitakutajia zaidi ya uliotaka.
  1. Prof Lawrence Museru, mkurugenzi mkuu wa Muhimbili hana PhD
  2. Prof Philemon Sarungi pia alikuwa mkurugenzi wa Muhimbili, hana PhD
  3. Prof David Mwakyusa, aliyekuwa daktari wa baba wa taifa, hana PhD
  4. Prof Leonard Lema (marehemu) alikuwa mkurugenzi wa Muhimbili, hakuwa na PhD
  5. Prof Hans Mgaya, bingwa wa wanawake, hana PhD
  6. Prof Kisali Pallangyo, alikuwa mkuu wa chuo na kitivo cha madaktari, hana PhD
  7. Prof Fred Mhalu bingwa wa maradhi ya kuambukiza, hana PhD
  8. Prof Yongolo, bingwa wa upasuaji, hana PhD
  9. Prof Charles Mkonyi, bingwa wa upasuaji, hana PhD
  10. Prof Victor Mwafongo, bingwa wa magonjwa ya dharura, hana PhD
Nimekupa list ya watu 10 maarufu nimechagua kutoka kwenye staff list wanayoweka mtandaoni katika prospectus za chuo na wengine nimeuliza. List ni ndefu zaidi ya hiyo.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako [emoji120]
 
Back
Top Bottom