mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Marhaba binti hujamboHeshma yako mdukuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marhaba binti hujamboHeshma yako mdukuzi
naam naam, mi naona ni sawa maana kwa namna moja au nyingine alikua anatoa watu competent, wenye shule kweli kweli.. ila saivi course nyingi zinachakachuliwa ili kupunguza wastani wa wanaofeli, matokeo yake inazalisha watu ambao hawajui vitu vingi na sio competent enough!.
Umenijibu kama vile mimi ni mtoto mdogo wa mtaani. Naomba usinionehivyo; mimi ni mwalimu wa vyuo vikuu kwa takriban miaka 34 sasa. Nimeshafundisha siyo Tanzania tu, bali hata New Zealand, na sasa Marekani, kwa hiyo haya maoni yako ya mawazo ya kimaskini weusi wenye wivu siyo kweli kabisa. Nimeshasidia vijana wa watanzania wengi sana kusoma marekani, na wengine wao leo ni maprofesa hukuhuku marekani. Kwa hiyo jua kuwa mimi siyo maskini, na vile vile ninafurahi sana kusaidia wengine wafikie hapa nilipo.
Napenda uelewe tena kuwa katika elimu usitegemee kupewa maksi za kushinda kwa mambo ya kukariri ukadhani kuwa hiyo ndiyo elimu, kazi ya elimu kukujenga skills za kutafsiri unayofundishwa darasani ili kuyafanya yatatue matatizo halisi ya maisha. Kama nilikufundisha kuwa mashine moja ya 240V: 250kW utatumia transformer yenye current capacity kiasi gani, ninategemea pia kuwa nikuuliza mashine tano za namna hiyo utatumia transformer ya namna gani. Siyo ukariri jibu la mashine moja tu. Iwapo ungekuwa mwanafunzi wangu na una attitude hii, ni kweli ningekukamata na kuchekelea sana. Chuo kikuu siyo choo ambacho hata inzi anaweza kuingia na kutoka!
Maswali mazuri; mimi ninajua Engineering ya miaka ya 80 na mwanzoni wa 90. Tatizo kubwa lililokuwapo engineering ni kuwa course nyingi za Engineering zilikuwa zinahitaji link ya moja kwa moja kati yake na ya masomo ya high school. Kwa upande wake sheria na Commerce siyo hivyo; kwa maana nyingine scores za high school zinasaidia mwanafunzi kujiunga na masomo ya sheria au biashara, lakini hata asiyekuwa na score hizo bado anaweza kumudu kozi hizo kwa vile ni kama zinaanza fresh kuanzia mwanzo...UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.
..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.
..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.
..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.
..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.
..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?
..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.
..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.
..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?
cc Zakumi, Mazindu Msambule
Nimepata somo murua, na nimeona ukweli yote uliyosema, afu nahisi wee ni mhadhiri wa chuo, tena huko nje.Maswali mazuri; mimi ninajua Engineering ya miaka ya 80 na mwanzoni wa 90. Tatizo kubwa lililokuwapo engineering ni kuwa course nyingi za Engineering zilikuwa zinahitaji link ya moja kwa moja kati yake na ya masomo ya high school. Kwa upande wake sheria na Commerce siyo hivyo; kwa maana nyingine scores za high school zinasaidia mwanafunzi kujiunga na masomo ya sheria au biashara, lakini hata asiyekuwa na score hizo bado anaweza kumudu kozi hizo kwa vile ni kama zinaanza fresh kuanzia mwanzo.
Kwa upande wa kozi za Engineering na nadhani hata Medicine na Science hizi zinaendelea kuanzia pale mwanafunzi alipoachia high school. Sasa ile link kati ya elimu ya high school na hizi kozi ndiyo ilikuwa hafifu kwa baadhi ya wanafunzi. Engineering inahitaji foundation nzuri ya Mathematics na Physiscs moja kwa moja kutoka high school; na hii haikuletwa na waalimu "weusi wenye roho mbaya" bali ni system iliyoletwa na waalimu wajerumani alioanzisha faculty ile. Waalimu wengi "weusi wenye roho mbaya" walikuwa ni matunda ya hao wajerumani.
Ubnaweza kukuta mwalimu anaingia darasani akitegemea kuwa mwanafunzi tayari ana misingi fulani ya Physics na Math halafu kumbe hali halisi haiko hivyo; kwa hiyo mwalimu anaweza kufundisha matumizi ya Maxwells laws za Electromagnetics kwenye design of electrical machines, kumbe mwanafunzi huyo haijui hiyo Maxwells Law ikoje- nadhani unanielewa. "Cream nzuri" ni relative term, best student kutoka high school anaweza kuwa amepata 5/10 wakati engineering inahitaji mtu aneyapata 8/10; sasa iwapo high school hazitatoa 8/10, basi wale wa 5/10 ndio watakaoichukuliwa, na ni lazima wakumbane na msukosuko huo.
Kuna wanafunzi kadhaa waliodisco engineering, wakajiunga na IDM Mumbe na kupasua sana huko.
Hukufundishwa na waalimu wajerumani pale engineering UDSM wewe; tuliofundishwa nao hatusemi hayo unayosema wewe. In fact Mkolela alikuwa anafundisha katika style ya kijerumani kabisa; huwezi kupasi mtihani wa mwalimu wa kijerumani kama umekariri !mkuu usimtetee huyo mjinga, nchi hii haitokuja kuendelea kama vyuo vikuu vina wajinga kama huyo Kumbuka elimu tumeitoa kwa wazungu ila wazungu wenyewe hawapo hivo, sisi tunachanganya elimu na roho mbaya
Maswali mazuri; mimi ninajua Engineering ya miaka ya 80 na mwanzoni wa 90. Tatizo kubwa lililokuwapo engineering ni kuwa course nyingi za Engineering zilikuwa zinahitaji link ya moja kwa moja kati yake na ya masomo ya high school. Kwa upande wake sheria na Commerce siyo hivyo; kwa maana nyingine scores za high school zinasaidia mwanafunzi kujiunga na masomo ya sheria au biashara, lakini hata asiyekuwa na score hizo bado anaweza kumudu kozi hizo kwa vile ni kama zinaanza fresh kuanzia mwanzo.
Kwa upande wa kozi za Engineering na nadhani hata Medicine na Science hizi zinaendelea kuanzia pale mwanafunzi alipoachia high school. Sasa ile link kati ya elimu ya high school na hizi kozi ndiyo ilikuwa hafifu kwa baadhi ya wanafunzi. Engineering inahitaji foundation nzuri ya Mathematics na Physiscs moja kwa moja kutoka high school; na hii haikuletwa na waalimu "weusi wenye roho mbaya" bali ni system iliyoletwa na waalimu wajerumani alioanzisha faculty ile. Waalimu wengi "weusi wenye roho mbaya" walikuwa ni matunda ya hao wajerumani.
Ubnaweza kukuta mwalimu anaingia darasani akitegemea kuwa mwanafunzi tayari ana misingi fulani ya Physics na Math halafu kumbe hali halisi haiko hivyo; kwa hiyo mwalimu anaweza kufundisha matumizi ya Maxwells laws za Electromagnetics kwenye design of electrical machines, kumbe mwanafunzi huyo haijui hiyo Maxwells Law ikoje- nadhani unanielewa. "Cream nzuri" ni relative term, best student kutoka high school anaweza kuwa amepata 5/10 wakati engineering inahitaji mtu aneyapata 8/10; sasa iwapo high school hazitatoa 8/10, basi wale wa 5/10 ndio watakaoichukuliwa, na ni lazima wakumbane na msukosuko huo.
Kuna wanafunzi kadhaa waliodisco engineering, wakajiunga na IDM Mumbe na kupasua sana huko.
..UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.
..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.
..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.
..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.
..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.
..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?
..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.
..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.
..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?
cc Zakumi, Mazindu Msambule
..UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.
..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.
..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.
..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.
..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.
..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?
..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.
..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.
..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?
cc Zakumi, Mazindu Msambule
Vyuo vingi vya nje hufundisha Calculus na Linear Algebra chuoni, siyo high school; kwa hiyo unapokwenda huko, utarudishwa tena kwenye ile math uliyopitia high school Tanzania kabla hawajaanza kukupika katika engineering. Kwa vile Tanzania tulikuwa na term tatu za PT na sehemu kubwa ya muda wa first year kwa Workshop Technology, mambo ambayo vyuo vingi vya nje haviweki kwenye mitaala yao, tulihitaji sana ile foundation ya high school ili kukamilisha kozi ya engineering kwa miaka minne!Failure rate ilikuwa kubwa sana. Wanafunzi wa mwanzo waliojiunga UDSM kutoka Dar Tech. waliboronga mpaka zikawekwa conditions kuwa mtu wa kutoka Technical college ni lazima awe na B ya Math na average ya B ya masomo yote. Lakini wengine waliokwenda nje walifanikiwa.
Vyuo vingi vya nje hufundisha Calculus na Linear Algebra chuoni, siyo high school; kwa hiyo unapokwenda huko, utarudishwa tena kwenye ile math uliyopitia high school Tanzania kabla hawajaanza kukupika katika engineering. Kwa vile Tanzania tulikuwa na term tatu za PT na sehemu kubwa ya muda wa first year kwa Workshop Technology, mambo ambayo vyuo vingi vya nje haviweki kwenye mitaala yao, tulihitaji sana ile foundation ya high school ili kukamilisha kozi ya engineering kwa miaka minne!
Exactly! mambo ndivyo yalivyo huko nje; kumbe wewe umeshapitia tanuru hilo utakuwa unalielewa vizuri sana.Ni kweli unayosema. Tanzania nilisoma engineering math...na ilikuwa na topics zote na waalimu walikuwa sio wazuri kabisa. Nilipotoka nje nilisoma calculus tatu kama kozi za kujitegemea, linear algebra, discreet math, probabilities kama masomo yaliyojitegemea. Na Physics ilibidi isubiri mpaka calculus 1 imalizike kwanza. Mwaka wa pili ndipo tulipoanza kuchukua specialization.
Exactly! mambo ndivyo yalivyo huko nje; kumbe wewe umeshapitia tanuru hilo utakuwa unalielewa vizuri sana.
Wanafunzi wenye misingi mizuri niliowahi kuleta marekani kutoka Tanzania walikuwa wanakuwa tishio sana madarasani kwao, lakini hata wale ambao hawakuwa na misingi mizuri bado walifanikiwa pia baada ya kujijenga upya kwa kurudia masomo hayo ya Math na Physics college level.
Ni kweli mkuu, ila kiuhalisia saivi tuna wasomi wengi ambao walikariri elimu lakini hawakuelimika.. pia wengi wao wanategemea janja janja nyingi katika kufaulu, sasa unapowaondolea uwezekano wa janja janja na ukiwapiga fair kabisa unadaka wengi!.. sasa hapo niambie tatizo ni la nani??Moja kati ya mawazo ya kimasikini sana tuliyonayo watu wengi weusi; wivu; hatupendi wengine wafikie tulipo; halafu wakikamatwa wanafunzi wengi hivyo mwenyewe anasikia RAHA, umasikini wetu ni wa kujitakia kwa sehemu kubwa.
wakiwa huko nje walikua wanajishughulisha kama walivyokua hapa bongo!?.. sikatai kua kuna tatizo, ila naamini tatizo kubwa linakua kwa wanafunzi kupenda mteremko na baadae wakifeli kutafuta mtu wa kumpa lawama.. ma lectuters pia hua hawapendi hicho kitu maana kiuhalisia kina-wa discredit!Bro, sijakujibu wewe; nazungumzia hayo mawazo na mipango ya hao walimu wa chuo kikuu. Wewe umeandika kile kilichokua kinafanyika vyuoni, ukweli ni maeneo mengi. Ukiingia hata ofisi za serikali nyingi hata sasa, sio watu wa kutatua shida bali wanatengeneza ugumu wa wewe kupata solution ya tatizo, mfano hata TRA leo hi, the way wanavyo kusanya KODI is as if hawataki biashara ziendelee. Unajua hadi mwaka 1998 idadi ya wahasibu walikua na CPA (T) nchi nzima walikua hawafiki 3000? Sasa hiyo kama sio roho mbaya ni kitu gani?
Siamini kwamba wote wale walikua wanafeli eti hawakua na uwezo, sio kweli; baadhi yao hao walio disco vyuo vyetu wamekwenda nje ya nchi na wakawa the bet students, shida sio KUKARIRI; tunalo tatizo period
mkuu mi naamini pia kua Magu ni clone ya Nyerere! Trust me, wengi hatumjui Nyerere vizuri, uliza wazee wetu hawa.He ain't that[emoji849]
Hapana, kama ni wanafunzi kutoelewa si wanafaa kuuliza!?.. mi naona ni tatizo la wanafunzi mkuu!.. hawajishughulishiMhadhiri au mwalimu akifundisha halafu wanafunzi wengi wakafeli huyo mwalimu ndiye hajui kufundisha na si tatizo la wanafunzi.
Kwanza, amesema katika 50 wamegraduate 24, na hao 26 walishindwa kwasababu mbalimbali ikiwemo ada kuhama course na baadhi disco! ila sio wote ni disco...UDSM inachukua cream of the cream ya wanafunzi wa Tz.
..Faculty of Law wanachukua cream ya wanafunzi wa HGL, KLF, etc.
..Faculty of Commerce wanachukua the best of the best ya wanafunzi waliochukua EGM, ECA, na Diploma ya CBE.
..Faculty of Engineering wanachukua cream ya PCM, PGM, na best students toke Technical College/ FTC.
..Faculty of Medicine wanachukua cream of the cream ya wanafunzi wa PCB, na Medical Assistant.
..Sasa kwanini failure rates za Medicine na Engineering zinakuwa ziko juu kulinganisha na za faculty kama Law, Commerce, wakati waliofanikiwa kufika UDSM ni cream of the cream kutoka high schools na vyuo vya kati?
..Kuna mchangiaji amesema mwaka 1982 Faculty of Medicine ilipokea wanafunzi 50, lakini 26 hawakufanikiwa kumaliza. Binafsi sina kumbukumbu ya wanafunzi wengi kiasi hicho kushindwa kumaliza masomo ktk Faculty kama Commerce, Law, na Arts.
..Wanafunzi wengi wa UDSM wa faculty kama Commerce hufurahia masomo yao ya chuo kikuu, wakati wale wa Engineering, na Medicine, hulalamika wakati wote kuhusu hofu waliyonayo.
..Je, tatizo liko kwa wanafunzi wetu wanaochukua PCB,na PCM, au tatizo ni course work ya faculty za Eng na Med, au tatizo ni wahadhiri?
cc Zakumi, Mazindu Msambule
Hapana sikutaja suala la ada tulikuwa tunasoma bure, bure kabisa hadi nauli ya kwenda na kurudi (return ticketi) tulikuwatunapewa tena wenzetu toka mikoa ya kusini hasa Mtwara (lindi haikuwepo) walikuwa wanakatiwa ticketi za ndege . Ilizoeleka ukipewa single warrant umefukuzwa kwa hiyo waliokuwa wana-disco walikuwa wanapewa single warrant.Kwanza, amesema katika 50 wamegraduate 24, na hao 26 walishindwa kwasababu mbalimbali ikiwemo ada kuhama course na baadhi disco! ila sio wote ni disco.
duh......Ni kweli kabisa Rosemary Nyerere baada ya discontinuation ya medicine pale Muhimbili baade alikwenda kusoma IDM Mzumbe na ali - graduate May 1989 with Advance Diploma in Professional Accountancy (ADPA) with honor akiwa "Ameua" - amepiga A's course zote. July 1989 Alipangiwa kazi kama Assistant Lecturer pale IFM (now a days IFM University) na kuanza kufundisha course za Accountancy mwaka wa kwanza na na wa pili.
Nakumbuka alikuwa rafiki na mcheshi na mtu wa kujichanganya kwa wote na hata wanafunzi wake. Pale IFM (kule nyuma ya jengo) siku hizo kulikuwa na mgahawa unaendeshwa na serikali ya Wanafunzi (almaarufu kama "MUWATA") ulikuwa ukiuza supu, chips kuku, mishakaki, bia, soda. Nakumbuka pale ilikuwa ni kijiwe alichokuwa akikipenda sana ambapo utamkuta akifurahi baada ya classes zake akipiga bia yake na sigara yake mkononi. Kwa hakika bado namuona akiwa kwenye tabasamu yake, upole na ustaarabu wake na sauti yake nyororo.
Nakumbuka alikuwa ni dada mmoja aliyekuwa akishughulishwa zaidi na mambo yake mwenyewe na ya watu aliyatazama tu na kuyaacha kama yalivyo. Na pia namkumbuka siku hizo kama mdada aliyekuwa akipenda kujichanganya kwenye vijiwe vya wanaume zaidi kuliko wanawake wenzie.
Bwana akutangulie katika safari yako.
RIP Rosemary Nyerere.