Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Conclusion yangu ni kua issue ni Diamond ila sio kusupport ccm au magufuli.
Maana mimi nilikua anti-the late lakini nikija kwa diamond alipokosea nilichukia na haikuondoa ushabiki wangu kwake.
 
Conclusion yangu ni kua issue ni Diamond ila sio kusupport ccm au magufuli.
Maana mimi nilikua anti-the late lakini nikija kwa diamond alipokosea nilichukia na haikuondoa ushabiki wangu kwake.
Maoni yako hayawezi kuondoa fact kuwa mtu yeyote anaeunga mkono maovu ni mtu mbaya na anatakiwa kukemewa na kutokuungwa mkono.Diamond aliunga mkono maovu aliyokuwa anafanya Magufuli kwa hiyo ukweli ni kwamba Diamond ni mtu mbaya na hapaswi kuungwa mkono.Hii ni fact na wala siyo maoni yangu.
 
Ni maoni yako rafiki. Sababu huwezi niambia diamond peke yake ndio anastahili hiko unachosema
 
Sasa ndugu yangu Mond kuwa Nominee kwenye hizo tuzo kwako imekuwa nongwa ajitoe aje kushindanishwa na wakina aslay?
 
Sasa ndugu yangu Mond kuwa Nominee kwenye hizo tuzo kwako imekuwa nongwa ajitoe aje kushindanishwa na wakina aslay?
Kwa iyo reply yako inaonesha hata hujaelewa nilichoandika..
 
Ni maoni yako rafiki. Sababu huwezi niambia diamond peke yake ndio anastahili hiko unachosema
Kwani hapa duniani watu hawapaswi kumlaumu Magufuli kama dikteta kisa wanapaswa kumlaumu Kagame na Museven pia?Yaani unataka unipangie kuwa nisimlaumu Magufuli kama dikteta kisa simlaumu Kagame na Museven?Yaani unataka kunipangia kuwa ili nimlaumu Magufuli kama dikteta basi napaswa nimlaumu pia Museven,kagame,Idd Amini na Hitler?Logic za wapi hizi rafiki?
 
Lkn mambo bado jamani sangoma anaweza kubadilisha ubao,tandale ika shine....mtakimbia mji huu[emoji16]
 
Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Ile petition yenu vipi? [emoji23]
 
Una haki ya mawazo yako hata kama ni kinyesi kibichi ila ni haki yako.
It's your house and you live in it, so you can shit on the floor.....
 
We pimbi unaonekana hata shule ukwenda wewe. Kwani dunia nzima saa hizi usiku. Kama kwenu sa hizi usiku we hapa unafanya nini? shsksndhdhdksksnsasks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuliza wenge wote tuko ulaya maana kama muda uliokua unapost upumbavu wako na mimi nilikua macho waliokua wamelala ndo wako Africa
 
Usipangie watu maisha, unachokipenda kwa makengeza wenu sio lazima kila mtu akipende.

Kupangia maisha watu wasiokujua, ndo uzuzu wenyewe.
 
Ni yeye peke yake? Mbona kina alikiba hamuwasemi kama wamepoteza kitu [emoji854]
Yani kikubwa zaidi wengi wao ni team Kiba, uanaharakati uchwara ni kichaka cha kujifichia tu.
 
Kwa hiyo mnafurahia yeye kukosa tuzo!
Haya kakosa,kwenu mnaongezewa nini sasa

Ova
 
Kwani ni msanii pekee yake diamond aliyeunga mkono juhudi?
Mbona wasani ni wengi tu wapo wengine mpaka walijifanya makomando kutembea na kamba,mbona hamwalaumi!
Hebu acheni zengwe kama kuna lingine mseme

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…