Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Hit nyingi kuliko Wiz na Davido?? Hapa umeongopa Hao viumbe viwili wana kete nyingi mno kaliii
Mkuu mwaka huu Hakuna msanii Africa amekuwa na mafanikio makubwa kwa hitsong kwenye label za muziki wa dunia Kama Burna.. Label ya billboard jamaa mwaka huu katisha


Naomba uwege evidence za achievement za Davido na Wizkid na Mimi nikuwekee kwa upande wa halafu tulinganishe hapa.
 
Kumbe unamjua yes kama mjamaica. Ukitaka Afrika isimame .


Patoranking ft Sean Paul


Daaaaaah.

Halafu inaweza kutoka ya kawaida ukashangaa 😂😂😂😂

ila sean paul wa enzi zile aseee

Bongo sijui tunafeli wapi yaani. Nigeria ukitaka wasanii A'list ni international watupu ila hapa kwetu hata watano hawafiki
 
Mentality za kibongo bongo unazi apply kwenye sehemu isiyo sahihi. Wa nigeria wanapenda kuhakikisha kunakuwa na wasanii wakubwa wengi kadri inavyowezakana na sio kuwashindanisha huyu na huyu.

Wabongo wanaamini kumshusha X na kumpandisha G.
 
Hahahaha Mkuu Wiz kwenye mafanikio Burna Anasubiri saaaana. Mafanikio yake kimataifa ndio kwanza Afrika Giant imekuwa nomination.


Mtu aliechukua tuzo ya uwandishi marekani ASCAP AWARD. alihusika na Production ya One Dance ile ngoma ya Drake ft Kyla&Wiz


Si juzi tu Brown Skin Girl imechukua tuzo au hujui?
 
Team Diamond tupo humu unataka kuleta mada.

Mond kwa burna unamuonea asee tuache utimu
Ukitaka jua nani ana influence kubwa watangaze show uko duniani utaelewa Mond kua na followerz wengi juu ya jamaa au subscriber wengi Youtube kuliko msanii yoyote africa sio kigezo muache OLUWA BURNA anakiwasha sana asee kwa live show zake
 
Nyimbo za lini hizo?
Kwahiyo mkuu unafuatilia muziki na huijui Fall ya Davido??

Namkubali Burna Boy lakini hajaweza kutengeneza hitsong iliyoizidi fall..Hii ngoma imeingia hadi kwenye chat za Billboard top airplays.na hii ni chati ya muziki wa dunia sio wa uswekeni
 
Wasanii wa WestAfrica mkuu wanakubalika sana. Coz wanatazamwa sana. Hii inaweza kuwa sababu
 
Umemaliza nikushushie na takataka za BurnaBoy ... Hivi unajua Burna huwa anamuandikia msanii mkubwa America ??


Don't take Burna So Cheap As You Think.


Kuwa na Heshima Mkuu.
 
Kwahiyo mkuu unafuatilia muziki na huijui Fall ya Davido??

Namkubali Burna Boy lakini hajaweza kutengeneza hitsong iliyoizidi fall..Hii ngoma imeingia hadi kwenye chat za Billboard top airplays.na hii ni chati ya muziki wa dunia sio wa uswekeni
Hahaha Wiz na Davido tuwaache kwanza.

Alikuja kwa kasiii Tecno tukapiga hesabu Tekno anakuja kuwaovateki Wiz na Davido. Jiulize kaweza???
 
Ishu sio tuzo..ishu ni tuzo gani?

Yaani ni sawa sawa na tuzo sijui za Afrimma..yaani ni tuzo za uswekeni hazina maana

Grammy ni ishu nyingine..kina Chriss Brown wanazililiaga hizi,sio mchezo

So,hata kuwa nominated tu ni big step
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…