Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Umemaliza nikushushie na takataka za BurnaBoy ... Hivi unajua Burna huwa anamuandikia msanii mkubwa America ??

Don't take Burna So Cheap As You Think.

Kuwa na Heshima Mkuu.
So Drake msanii Mdogo Duniani??? Lkn One Dance ikaandaliwa na Wiz ntajie msanii anaeweza kumsumbua Drake ukimtoa Chris Brown???

Starboy Tani Kumi.
 
Kwahiyo mkuu unafuatilia muziki na huijui Fall ya Davido??

Namkubali Burna Boy lakini hajaweza kutengeneza hitsong iliyoizidi fall..Hii ngoma imeingia hadi kwenye chat za Billboard top airplays.na hii ni chati ya muziki wa dunia sio wa uswekeni

Tunaongelea kwa sasa mkuu 2018/2019
 
Ishu sio tuzo..ishu ni tuzo gani

Yaani ni sawa sawa na tuzo sijui za Afrimma..yaani ni tuzo za uswekeni hazina maana

Grammy ni ishu nyingine..kina Chriss Brown wanazililiaga hizi,sio mchezo
chris Brown aliwahi kuandika kwenye IG yake I don need award to be A king.
 
So Drake msanii Mdogo Duniani??? Lkn One Dance ikaandaliwa na Wiz ntajie msanii anaeweza kumsumbua Drake ukimtoa Chris Brown???

Starboy Tani Kumi.
Mkuu acha kuhamisha magoli .. Hapa mada ni Burnabboy evern thread's tittle speaks out...

Huko kwa wakina Drake na Brown kafungue Uzi mwingine tukuoneshe wasanii tunaowapenda wa rock na pop ambao Huyo Drake hagusi hata robo ...
 
drake anaimba Pop?
 
Nadhan wanigeria music ni nature Yao .

Wasanii hawataisha kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…