Brother kwa era hii burna ni habari nyingine asee ivi unajua wiki kama mbili zilizo pita kaweka rekodi yake ya kujaza Arena uko Uingereza?
Mafanikio ya msanii sio kwenye viewz , followerz na skendo, fatilia historia ya burnaboy jamaa alikuepo kitambo tu sema hakuwai wika kiivyo nliwai soma documentary flan wanasema jamaa alianza imba ana 10 yrz na 19 yrz alikua ana endesha Range uyu jamaa ana management ya kipekee kwanza Mama yake ndio msimamizi wa kazi zake na show kwa ujumla, wanakwambia ata matumizi ya simu kwa jamaa wanacontrol na Management na simu yake wamemuachia whatsapp tu Angalia katika account ya Jamaa vitu anavyo post kama sio show na picha za akiwa anatumbuiza au yuko katika harakati za kwenda tumbuiza , kwangu Mimi burna ni Mkali sana kuliko ata ao kina Davido wanao tumia nguvu nyingi kupambana just imagine jamaa kaja na style yake na kapenya simple tu