Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Nadhani umeniquote vibaya
 
Moja Ya Album Bora Kukutana Nazo ... Burna Ni habari nyingine ...


Kwa mpenda African music hawez acha mkubali huyu Jamaa ... Huku Hakuna beat za kutwerk au Crank ...
 
Ukweli mchungu, jamaa nyota imeng'aria sana japo sioni kama ni bora kuliko hao wawili
 
Mi namuelewaga Timaya kuliko wote hao
 
kauli yako ya mwisho ndio bora zaidi kuwa "tusubiri" mbona akina tekno walikuja kwa speed hii hii miaka ya 2015 lakini leo hii hata hatujui hata ngoma zao kama zipo au lah, WizKids na davido wameshakuwa maarufu mno kiasi kwamba kupotea kwenye game si rahisi kama huyo #burnaboygram
 
Vanessa mdee kwenye interview na millard kasema nyimbo za burnaboy zinapigwa marekani kuliko za davido na wizkid kuanzia radio stations, clubs hadi kwenye malls hapo inakuaje hapo
 
Sasa hao followers na subscribers si wanatoka uko uko duniani,kama anauwezo amzidi mondi hivyo vitu viwili,(DIAMOND>BURNABOY).
 
Sasa hao followers na subscribers si wanatoka uko uko duniani,kama anauwezo amzidi mondi hivyo vitu viwili,(DIAMOND>BURNABOY).

Siongelei porojo za ushabiki kisa tu mtu unamkubali naongelea reality
Watangaze shoo ata apo Senegal tu Mond na Burnaboy afu subiri uone impact itatokea wapi

Burnaboy kajaza uwanja wa Uingereza Arena yenye kuchukua watu takribani 12,500 na ni oneman show mwambie Mondi wako aende apo uone
Ukweli n kua Tanzania inasafari ndefu sana kidunia ata show Mond anazofanya ni kwenye kumbi ndogo za kuchukua watu 1000-3000 nakupa mfano mwingine apo SA kuna mtu anaitwa Casper ashawai jaza uwanja wa mpira watu takribani 80,000 na si mara moja Mond alishawai fanya ivyo?

Ushabiki unaleta na hauna fact toa rejodi ya international show zote za Mond alizowai fanya na kumbi alizotumbuiza nakupe za Burnaboy na kumbi zake alizofanya sold out
Afu linganisha capacity ya kumbi izo kwa idadi ya watu na viingilio then rudi comment

Mond ametoa Album ya A boy from Tandale mpk sasa ina stream ngapi? Imeuza kopy au nakala ngapi?

Afu nambie nikupe za burnaboy
Mondi ananyimbo gani iliyo wai ingia Billboard ata top 200 na ikakaa ata kwa siku 3 ?

Usidhani wenzetu ni wapumbavu wanabweteka na followerz au subscriber endelea mfagilia Mond wako na Kiba mkizani ndo wamefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…