Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Sasa hao followers na subscribers si wanatoka uko uko duniani,kama anauwezo amzidi mondi hivyo vitu viwili,(DIAMOND>BURNABOY).

Yani uyu Mond wako amepitwa na chipu kizi kama REMA kutoka Nigeria asee
 
Siongelei porojo za ushabiki kisa tu mtu unamkubali naongelea reality
Watangaze shoo ata apo Senegal tu Mond na Burnaboy afu subiri uone impact itatokea wapi

Burnaboy kajaza uwanja wa Uingereza Arena yenye kuchukua watu takribani 12,500 na ni oneman show mwambie Mondi wako aende apo uone
Ukweli n kua Tanzania inasafari ndefu sana kidunia ata show Mond anazofanya ni kwenye kumbi ndogo za kuchukua watu 1000-3000 nakupa mfano mwingine apo SA kuna mtu anaitwa Casper ashawai jaza uwanja wa mpira watu takribani 80,000 na si mara moja Mond alishawai fanya ivyo?

Ushabiki unaleta na hauna fact toa rejodi ya international show zote za Mond alizowai fanya na kumbi alizotumbuiza nakupe za Burnaboy na kumbi zake alizofanya sold out
Afu linganisha capacity ya kumbi izo kwa idadi ya watu na viingilio then rudi comment

Mond ametoa Album ya A boy from Tandale mpk sasa ina stream ngapi? Imeuza kopy au nakala ngapi?

Afu nambie nikupe za burnaboy
Mondi ananyimbo gani iliyo wai ingia Billboard ata top 200 na ikakaa ata kwa siku 3 ?

Usidhani wenzetu ni wapumbavu wanabweteka na followerz au subscriber endelea mfagilia Mond wako na Kiba mkizani ndo wamefanikiwa
Kwani diamond ujui ndo mtanzania wa kwanza na mwafrika kuijaza arena ya ujerumani inayoingiza zaidi ya watu 20,000 mbona hatusemi au unatuona mazuzu sasa unataka tena reality gani..?DIAMOND IS FAR BETTER THAN BURNABOY ebooooooh
 
Nyimbo za wizkid hazina tofauti na za Diamond za miaka hii. Wote wanaimba bora liende
 
Mkuu umeongea kila Kitu
 
Kwani diamond ujui ndo mtanzania wa kwanza na mwafrika kuijaza arena ya ujerumani inayoingiza zaidi ya watu 20,000 mbona hatusemi au unatuona mazuzu sasa unataka tena reality gani..?DIAMOND IS FAR BETTER THAN BURNABOY ebooooooh
Hahaha what ???

Weka hiyo show diamond kajaza ukumbi wa watu 20,000...

Soma hizo Kumbi alizojaa BurnaBoy , Yaani Ticket zilikuwa Outsold ...

Kumbuka jamaa show anapigaga peke yake . Yani Kama ile wasafi festival apige diamond peke yake
IMG_20191122_202241.jpeg
 
Kwani diamond ujui ndo mtanzania wa kwanza na mwafrika kuijaza arena ya ujerumani inayoingiza zaidi ya watu 20,000 mbona hatusemi au unatuona mazuzu sasa unataka tena reality gani..?DIAMOND IS FAR BETTER THAN BURNABOY ebooooooh

Unaona ulivyo Punga sasa yani ushabiki unakupeleka pabaya ule ukumbi wa Columbiahalle pale german berlin angalia unacapacity ya watu wangapi kama si 3500 iyo elfu 20,000 imetoka wapi acha sifa brother usizani sisi atufatilii show izi za wasanii wetu naweza nkakwambia tu iyo show imefanyika septmber mwaka huu trh 6 kama sijakosea sasa ao watu 20,000 walikanyagana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asee mziki wetu unauliwa na ushabiki mandazi
IMG_1364.JPG
 
Acha ujinga na mihemko ya kishakunaku yaani unafananish(DIAMOND MBINGU) na (REMA KUNGUNI WA KUFUGWA),come on lady be serious

Siongelei pesa naongelea kupenya kwa mziki umeelewa REMA uyo chawa kaingiza nyimbo Billboard Baba ako Mond vp ameingiza nyimbo gani uko? Na si Mond tu ata Mfalme wenu na Mmakonde wameingiza lini nyimbo uko?
Tunaongelea tuzo kubwa duniani kama BET mondi anayo? Hakuna msanii aliyewai kuwa nominated Grammy kwenye Mambo ya Album for the first time Burna kawepo ata Davido hajawai Mond vp ashawai

Mwambie Mond wako na mfalme wenu waache kiki kama Burna kama hawajapotea
 
Mwaka upi Bro StarBoy aliwahi kuwa nomination au kupitia Album ya Drake-Views. Coz alihusika kwenye One Dance
Burna Boy Africa Giant.......Kila mtu ana 'era' yake na miaka ya hivi karibuni ndo anakimbiza yeye....muda wake wake huu...walikuwa kina Patoranking,RunTown,skales,korrede bello,Maleek Berry,Eazy... e.t.c!.
Ila Wiz Kid usimlinganishe na hao!Kila 'era' yupo hajawahi kuyumba...Baba Nla!Star Boy
Wote hao kwa Juma Nature wachumba tu
 
Usilete ligi za kijinga apa na Mond wenu
Kama mnaisi amefanikiwa sawa mpeni kichwa asee wenzake wanapambana bado
Mkuu mi sio wcb na Sina team yoyote ila huyu rema huyu ambaye anaimba Kama hana meno mdomoni ndo amshinde diamond wa hallelujah mkuu jitafakari usiwe unaongea upumbavu.rema huyo amfikiii hata kidogo fireboy[emoji91].
 
“You think I give a damn about a Grammy?” rapped Eminem, on Marshall Mathers LP single “The Real Slim Shady.”
 
Mkuu mi sio wcb na Sina team yoyote ila huyu rema huyu ambaye anaimba Kama hana meno mdomoni ndo amshinde diamond wa hallelujah mkuu jitafakari usiwe unaongea upumbavu.rema huyo amfikiii hata kidogo fireboy[emoji91].
Watanzania mna vichwa vigumu Sana ... Ulichoandika na alichopresent jamaa Ni two different things..

Hakuna sehemu kasema Rema anamzidi Diamond ila wewe umekuja kuweka logic zako zisizo na maana ...
 
Hahaha what ???

Weka hiyo show diamond kajaza ukumbi wa watu 20,000...

Soma hizo Kumbi alizojaa BurnaBoy , Yaani Ticket zilikuwa Outsold ...

Kumbuka jamaa show anapigaga peke yake . Yani Kama ile wasafi festival apige diamond peke yakeView attachment 1269382
Wasanii wote waliofanya kwenye show kwenye Arena wote walisindikizwa na wasanii,tana Burna boy alisindikizwa na msanii mkubwa wa Jamaica Steflon don ambaye yupo kwenye album hii ya juzi ya Dj Khaleed.

Wizkid show yake ya juzi kuna wasanii zaidi ya watano,Mondi wasanii watatu walimsindikiza kwenye show yake ya Columbus Germany.

Alafu jiulizeni kwa nini hizi record wanaziweka UK peke yake na si nchi nyingine?

Tatu Wanaijeria peke yao waliopo UK (zaidi ya 200000) wanaweza kujaza O2 arena (20000)
Screenshot_20191122-205436.png
 
Back
Top Bottom