Pesa utakopeshwa ila nguvu kila mtu anamatumizi nazoBora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.
Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener
Na huo ndio utukufu kwake.Na isionekane kama namkufuru Mungu lakini, ni kheri ukose pesa lakini si nguvu za kiume.
Na ya kheri pesa yako iwe kidooogo sana lakini Mungu akupe uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ikawaje???Imagine ! kuna boss wangu mmoja walikuwa wanadai naye hawezi haya mambo eti, siku moja akasema nitachukua likizo niende vacation sehemu tulivuuu! waja tukaongeza tukiwa na udadisi flan ivi "yenye totoz wakali boss" si eti eh akajibu hapana akarudi "sehemu tulivuuu yenye kijaniii tuuu so cool" tukatizamana na wale wenzangu mh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKwa kweli aisee sasa mie unanipeleka sehemu tulivuu ya kijaniii [emoji1787] nigonge wine zangu alafu uniambie ni enjoy ukijani [emoji1787] aloooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa libishi sana yaani
Maandazi.Money is power! ngawilaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena na enjoy haswaaaah.Hahahahah! Ishi life lako Coca
Story ikaishia apo aisee hata ingekuwa wewe ungesemaje sasa 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ikawaje???
Ndo nashaangaa hizo nguvu za kiume kama dili zinawaingizia bei gani?Hapahapa utawaona wale wanaume wanaosikilizia mchongo,pesa hawana ati wanatamba na nguvu zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeStory ikaishia apo aisee hata ingekuwa wewe ungesemaje sasa [emoji1787]
Wakati huo huo vidume mnasema kheri uwe na nguvu kuliko pesa, na wanawake wanasema kheri wawe na mwanaume mwenye pesa kuliko mwenye nguvu....Bora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.
Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener
Dah! Uwe na pesa lkn upigi mbususu vzr? Haiwezekani tena kwa hawa wasanii wanavyokutana ma-video queen wa kuwango cha juu?Vijana.. ngoja niwaache....
Lakini maisha ni zaidi ya ngono, starehe na mengineyo. Kwanza naona wengi wenu mmechanganya kati ya Nguvu za Kiume na Uhanithi. Sasa kuchanganya huko kumewatoa kabisa nje ya Mada.
Zaidi ya yote, tafuteni pesa. Haya majigambo ya nguvu za kiume mkifikia umri wetu, mtagundua hakuna kitu mmepata kwa kuwa na nguvu za kiume.
Hebu fikirieni kwa mfano. Mtu Mwenye nguvu za kiume anapopata tatizo la kumaliza hiyo nguvu ya kiume na yeye hana pesa, anabakiwa na nini? Kwenye ulimwengu huu ili maisha yaende unatakiwa uwe na uwezo wa kuyaendesha ni lazima uwe na rasirimali na kwa ulimwengu wa sasa, ni PESA.
Zamani mababu zetu waliokuwa na wake wengi walikuwa na mashamba makubwa pia, leo huna hela hizo nguvu zako atazitaka nani? Mwanamke anakuja kwako unashindwa kumlisha, kumvisha na kumtimizia mahitaji yake mengine, unadhani utaweza kummiliki kwa kuwa tu unamfurahisha kitandani?
Bill na Hilary Clinton wana mtoto mmoja tu, Chelsea. Lakini hao jamaa kwa tanzania ni watu wachache sana wanaoweza kusema wameisha maisha yao kwa kikomo (Life to the fullest) kama hao jamaa. Sisi maskini tunadhani ngono ni ushujaa na utambulisho wa uanaume.Dah! Uwe na pesa lkn upigi mbususu vzr? Haiwezekani tena kwa hawa wasanii wanavyokutana ma-video queen wa kuwango cha juu?
Wabongo kwa kuendekeza ngono !!, nguvu za kiume bila pesa zitakusaidia nini ?, utaweka mezani badala ya mkate ?, utapelekea wazazi kijijini hizo nguvu za kiume ?, pesa ndio heshima ya mtu, huyo changu aliyemzodoa jamaa atashangaa wenzake wanaenda hapo na wanatulia
Pesa bila nguvu za kiume yafaa nini?
Acha aende zake, utabaki hapo unakula pesa zako, kwani ukiwa na nguvu za kiume huna pesa utakula hizo nguvu za kiume ???!¡!Bora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.
Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener