Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"......

Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini.

Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu kwa kuwa hawampi presha.

Amsema wanawake wa kizungu hawataki pesa hawahitaji sana zawadi, wanapenda mapenzi na muda wako tu.


Mtaalam huyo wa Afrobeats amewashauri wanawake wa kiafrika na Nigeria kujifunza kujihudumia wao kwa pesa zao wenyewe na sio kuwa tegemezi kama Walemavu au Watoto yatima.
 
Ngoja akaoe ughaibuni wakampukutishe kwanza.

Maana wale wakiona hela nyingi wanazikwapua kisheria kabisa kupitia talaka

Wait a minute:
Kwanza anawezana na wanawake wa kiafrika? Kwa story za Diddy alichowafanyia sidhani kama anazo guts za kumtokea dem yeyote
 
Ni utaratibu wa Dunia tu...mbona anasound kama hajatembea......Aulize kaka zake wangapi wamecheza soka la kulipwa Ulaya wamepukutishwa kila kitu na Hawa mnaowasema wanawake weupe wasiopenda pesa.

Pesa kwa mwananmke haina rangi....
 
Back
Top Bottom