Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

ukweli mchungu kwa mabinti wa kiafrika
 

Attachments

  • Screenshot_20241227-155100.png
    Screenshot_20241227-155100.png
    457.1 KB · Views: 2
Bora afrika unatoa pesa papo Kwa hapo, afrika hata unaweza kuhonga mahakama wakapindisha sheria, ukasalimika na Mali zako lakini ulaya hazichukuliwi pesa tu Hadi majumba na mengine mengi mnagawana, kina Eboue walikuwa wakilipwa mapesa Arsenal Sasa hivi Kawa msela mavi wa mburahati
Hii ni kwa wale waliofunga ndoa na kuja kutalikiana..
 
Ukweli kabisaaa. Wanawake wa Tanzania kuwazalisha na kisepa.
 
Ni kweli kuna scandal ya Piddy vs Burna boy.

Lakini ukweli tusiache kusema, mwamba (madam) hapa kasema kweli.
" Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan".
 
Back
Top Bottom