Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

Japo saizii, Watu mnazusha Maneno na taarifaa nyingi zisizo za kweli juu ya Watu haswa Maarufu.


Kama kweli kaandika hayo.

Sentensi Hii inamhusu ni Clueless wa Wanawake katika Love Life.


Na asiye tambuaa anaishi katika jamii gani na Mfumo wa uchumii ww nyakati hizi .
 
...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"......

Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini.

Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu kwa kuwa hawampi presha.

Amsema wanawake wa kizungu hawataki pesa hawahitaji sana zawadi, wanapenda mapenzi na muda wako tu.


Mtaalam huyo wa Afrobeats amewashauri wanawake wa kiafrika na Nigeria kujifunza kujihudumia wao kwa pesa zao wenyewe na sio kuwa tegemezi kama Walemavu au Watoto yatima.
BASI ATONGOZWE YEYE NA WANAUME ILI WAMPE WAO
 
Hivi wanawake anaowakubali ndio kama wale wanaowafilisi kina Tyrese Darnell Gibson, Ken Rathbun, Adrian Peterson, Elon Musk &Grimes, Deion Sanders, John Depp na Michael Jackson bila kumsahau Donald Trump vs Stormy Daniels kwa makesi ya watoto na mshiko!!!
Cobe Bryant wa basket ball
 
Back
Top Bottom