Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

afrobeats
Nani aliwapa mamlaka ya kuiita Afrobeat....Na ndipo wanapotupigia hapa hawa Wanigeria. Mtu yeyote akiskia Afrobeat anadhani inawakilisha Bara Zima la Africa.

Personally, Simsikilizi huyu jamaa zamani Wizkid, Square walikuwa wanaimba unasikiliza nyimbo kweli....Sasa kupitia huyu jamaa manageria karibu wote wana-mumble kwenye beats tu.
 
Sisi tuendelee na Yanga na simba ndio mwisho wetu
 
Nani aliwapa mamlaka ya kuiita Afrobeat....Na ndipo wanapotupigia hapa hawa Wanigeria. Mtu yeyote akiskia Afrobeat anadhani inawakilisha Bara Zima la Africa.

Personally, Simsikilizi huyu jamaa zamani Wizkid, Square walikuwa wanaimba unasikiliza nyimbo kweli....Sasa kupitia huyu jamaa manageria karibu wote wana-mumble kwenye beats tu.
masuala ya muziki yapo kimtazamo sana
 
Back
Top Bottom