Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ameshakuwa nao wengi.......unamkumbuka yule jamaa wa Morocco Hilmy?Ngoja akaoe ughaibuni wakampukutishe kwanza.
Maana wale wakiona hela nyingi wanazikwapua kisheria kabisa kupitia talaka
Kwani wanatofauti?Ndugu???!! Kasema nigerian girls wewe unasambaza habari ni africa nzima jamani
Hahaha......wanawake wanafanana hata awe profesa.....Ni utaratibu wa Dunia tu...mbona anasound kama hajatembea......Aulize kaka zake wangapi wamecheza Ulaya wamepukutishwa kila kitu na Hawa mnaowasema wanawake weupe wasiopenda pesa.
Pesa kwa mwananmke haina rangi....
Hapo turudi kwa burna boy ndio anaelewa vizuri.Kwani wanatofauti?
HahahaHapo turudi kwa burna boy ndio anaelewa vizuri.
Kataa ndoa na wao wanaathirima na hili pia. Hakuna mshindi hapa.Ni vilio Kila Kona 🐒
Tena kadri maisha yanavyozidi kuwa ya kibepari ndiyo kupenda mserereko unaongeza.....Marekani kuna ma -gold diggers wa kutupwa.Hahaha......wanawake wanafanana hata awe profesa.....
Wale si wanatambulika kabisa kama sex workers? Kwa hiyo unapowafata unajua kabisa ni mauziano.Tena kadri maisha yanavyozidi kuwa ya kibepari ndiyo kupenda mserereko unaongeza.....Marekani kuna ma -gold diggers wa kutupwa.
Hahaha anakubalika ndani na nje ya mipaka ya Afrika.Huyu jamaa kwa maoni yangu is overrated....sijui anaimba nini hata.
Vitu viwili tofauti...Wale si wanatambulika kabisa kama sex workers? Kwa hiyo unapowafata unajua kabisa ni mauziano.
afrobeatssijui anaimba nini hata.
Gold Diggers ana tofauti gani na Sex workers?Vitu viwili tofauti...
Ni sawa na Taxi na taxi babu.Gold Diggers ana tofauti gani na Sex workers?
SawaNi sawa na Taxi na taxi babu.