Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo huko msanii wetu akawa anasema "BORA NIKAE KIMYA" yan kuna watu hawajui nafas zao kwenye jamii zao
Inafurahisha na kuhuzunisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BET hakuna Wizi wa kura kama wa Ccm...Ingekua kura zenu zinaleta ushindi msingeshindwa uchaguzi mkuu kila awamu
Twende na Burna boy, halafu ni kijana wetu wa Tarime[emoji28][emoji28]
Anaona akigawa pesa kwa barabara ndio jema kuliko kuisemea jamii ktk maswahibu yaoWakati huo huko msanii wetu akawa anasema "BORA NIKAE KIMYA" yan kuna watu hawajui nafas zao kwenye jamii zao