Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Mkirundika makura yenu kwa Burna mnaweza kufeli lengo lenu la kumkomoa mondi. Burna alishinda BET 2019, 2020 akiwa njiani kuelekea grammy 2021. Anaweza kushinda kura ila wakaamua kumpa runner up - mondi. Heri mpeleke chuki zenu kumpigia wizkidayo.
Life is a game....Hata ku hate inabidi u hate kimkakati.
 
Mnashindwa kupambania mifumo ili chama lenu lije lishinde kwenye uchaguzi alafu nyie mnakuja kumchukia diamond
 
Nakuunga mkono mkuu,Hawa wasanii sijui wanatuchukuliaje tu. Sio kumpigia kura tu,ikiwezekana na jicho umpe yule mnigeria.Yaani mkuu,safari hii usikubali hata kidogo.
Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.
Nakumbuka lile tamasha kigoma yani hata kampeni hazijaanza za 2020 et usikuuuu domo akapigiwa simu na ile taharuki iliyofukiwa wakaongeaaaa.Halafu domo akasema "baba ww ni tano tenaaa hakuna wa kupinga"

Mwenye clip atuwekee hapa.

Hamna cha kupiga kura wala nini! Tunampigia burnaboy
 
BET kuna kipengele cha Humanitarian Award kwa hoja hii kule Burna Boy ndio anastahili. Ila kwa sehemu aliyowekwa na Naseeb hii hoja ya kujitolea kwa watu haina mashiko
Kwa vyovyote vile African Giant lazima ashinde, yani hata kama wapiga kura wangekua wawili tu yani burnboi na naseeb tu, Obviously angeshinda Burnboi maana Naseeb mwenyewe angempa kura yake.
 
Wazee mizuka halafu Mungu alivyokiwa si Athuman yanaweza yaka jirudia ya Stoneboy na Black Coffee mkashangaa mshindi akawa Diamond.
Mshindi awe domokaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie wafuasi wa domo ile sio tuzo ya Killi? Khaaaah
 
Back
Top Bottom