cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Watu wamechafukwa huku lol.Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.
Nakumbuka lile tamasha kigoma yani hata kampeni hazijaanza za 2020 et usikuuuu domo akapigiwa simu na ile taharuki iliyofukiwa wakaongeaaaa.Halafu domo akasema "baba ww ni tano tenaaa hakuna wa kupinga"
Mwenye clip atuwekee hapa.
Hamna cha kupiga kura wala nini! Tunampigia burnaboy