Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Sisi uhakika 100% wewe kama hauna uhakika, kaa pembeni tupishe
Sasa sitaki kubishana kwa jambo ambalo hata kipofu anaona, sana nikutakie pumziko jema ukisubiri kuangalia matokeo ya tuzo, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza lazima tufahamu BET hakuna system ya mashabiki kupiga kura. Lakini kuna namna ya kipekee ya kumpigia kura Diamond.
Unachotakiwa ni kuandika hizi hashtag kwenye post unayompost Diamond au unapocomment popote pale.

I VOTE FOR DIAMOND PLATNUMZ #BETAward
#BETAward2021 #diamondplatnumz
diamondplatnumz #bestinternationalActAct @BET_Africa
@BETAwards bet

Hapa kuna faida mbili, moja ni kuwa itampeleka Diamond kuonekana kwa urahisi na kuonyesha how powerful he is. Then inaweza pelekea timu ya kutoa ushindi kushawishika kwa namna fulani.

Mbili ni kutumia wakati huu wa joto la kura kuendelea kujitangaza kwani mpaka sasa ukifungua hizo hastag utakutana na picha za Diamond zaidi ya elfu 10. Hii ni kama free promo kwa Diamond akiwa kama msanii wetu wa kitaifa. Mpaka sasa mondi yupo juu kwenye hizo hashtags.

Tumpelekeni Mondi mjini.

Mo anasemaga 'guvu moya'.
 
Kama CCM walimwambia kuwa watamsaidia kuiba kura wamemdanganya. Huku hakuna tume ya uchaguzi
 
Sasa sitaki kubishana kwa jambo ambalo hata kipofu anaona, sana nikutakie pumziko jema ukisubiri kuangalia matokeo ya tuzo, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipofu hajawai kuona, hakuna kulala hapa mpaka tuzo ije Tandale
 
I VOTE FOR BURNA BOY #BETAward
#BETAward2021 #burnaboy
burnaboy #bestinternationalActAct @BET_Africa
@BETAwards
 
Back
Top Bottom