Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Mbona unapayuka utazani umekunywa maji ya chooni, wewe na roho mbaya yako ndio unaona hivyo ila kwenye BET Mondi anaweza kuchukua kwani yote yanawezekana.

So hujashikiwa bunduki ukitaka acha kupiga kura, kwani still bado probability ya kushinda hiyo tuzo anayo.
[emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo unahara, huyo domokaya hawezi kushinda hiyo Tuzo, japo naweza hata nisipige kura kwa yeyote. Relaaaaaax
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo unahara, huyo domokaya hawezi kushinda hiyo Tuzo, japo naweza hata nisipige kura kwa yeyote. Relaaaaaax
Akishinda naona mtakata rufaa, ila kama ipo ipo tu.
 
Back
Top Bottom