Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Unataka Nikae kimya, halafu uongee wewe peke yako ahahahahaha, hapa weka tuweke akai mtu kimya, lazima adabu utaipata mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa mbavu sina wallah khaaaaah, wee unataka kupambana na mie,? Ktk hili suala siwezi weka nguvu wala u serious, maan najua hata iweje domokaya hawezi kuchukua tuzo, ndo maan nanyamba kwa kurelax tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kampeni ya nini hizo tuzo zote alizopata mimi nilianzisha kampeni? Mimi kazi yangu ni kupiga spana wanaharakati fake na misukule yao kama wewe, ndio kwanza napasha misuli moto tulia tulii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh sanaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa mbavu sina wallah khaaaaah, wee unataka kupambana na mie,? Ktk hili suala siwezi weka nguvu wala u serious, maan najua hata iweje domokaya hawezi kuchukua tuzo, ndo maan nanyamba kwa kurelax tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya yote yanatoka wapi uweke nguvu au usiweke , spana ziko pale pale ahahahha
 
Leo siku nzima utatoa pole , lakini huwezi kunusurika na spana
Kwa hili hata swezi kaza msuli, wa kuchukua anafaahamika, tukutane baada ya tuzo, byeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hili hata swezi kaza msuli, wa kuchukua anafaahamika, tukutane baada ya tuzo, byeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kukariri tuzo ni Mali ya Diamond Platnum , hakuna wa kumzuia
 
Wajinga tu,kuna wengine humu ni mikumbo tu.Unakuta tanayopiga kelele ni yale ambayo hayajawahi kumsupport Mond tangu zamani,shabiki wa mond hawezi acha kumpigia kura kisa hizi hoja za kishubwada.

Kama kura zao zingekuwa dili kiasi hicho, wasingekuwa wanapigwa KO kila siku,kwenye chaguzi.
Kwaio unazan kila mtu anapiga kura ukisema hvo mond ndo hatatoboa kabisaaa
 
Mshindi awe domokaya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie wafuasi wa domo ile sio tuzo ya Killi? Khaaaah
Mbona unapayuka utazani umekunywa maji ya chooni, wewe na roho mbaya yako ndio unaona hivyo ila kwenye BET Mondi anaweza kuchukua kwani yote yanawezekana.

So hujashikiwa bunduki ukitaka acha kupiga kura, kwani still bado probability ya kushinda hiyo tuzo anayo.
 
BET kwani ni site gani hii ya kubeti ambayo mnataka kuipigia kura, 😒😁au nipo nje ya mada ama sijaelewa!?
 
Vita nyepesi hii wachawi wanaoitwa, wanaharakati ndio walimdanganya Lissu akaambulia mbunge mmoja, hivyo wala hawana jipya
Siyo uchawi ukubwa wa big siyo wa kujiweka hovyo na watu dhalimu maana music wake haupo supermarket unategemea washabiki
Amejifunza somo kwa kunguni aliosagiwa
 
Siyo uchawi ukubwa wa big siyo wa kujiweka hovyo na watu dhalimu maana music wake haupo supermarket unategemea washabiki
Amejifunza somo kwa kunguni aliosagiwa
Mbona mashabiki tupo nae wengi, nenda hizo page za BET ni Diamond tu anatawala, kiufupi Diamond hawezi kutishwa na wanaharakati uchwara, ambao kama mdudu basi ni NZI
 
Back
Top Bottom