Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Dah!! Ndio hvyo lazma kwenye kila jamii wawepo vipofu wanaoonaanaona akigawa pesa kwa barabara ndio jema kuliko kuisemea jamii ktk maswahibu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!! Ndio hvyo lazma kwenye kila jamii wawepo vipofu wanaoonaanaona akigawa pesa kwa barabara ndio jema kuliko kuisemea jamii ktk maswahibu yao
BET hakuna Wizi wa kura kama wa Ccm...
Kaeni kwa kutulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu asipotajwa kwenye huu uzi natembea kutoka mwenge mpaka Liberia kupitia mwambao wa bahari ya sham
Uzuri ni kwamba, hakuna sehemu mliyowahi kutia kura zenu mkatoboa😂.Msanii wa chama anasulubishwa kote kote😀😀😀
Wajinga tu,kuna wengine humu ni mikumbo tu.Unakuta tanayopiga kelele ni yale ambayo hayajawahi kumsupport Mond tangu zamani,shabiki wa mond hawezi acha kumpigia kura kisa hizi hoja za kishubwada.
Wazee mizuka halafu Mungu alivyokiwa si Athuman yanaweza yaka jirudia ya Stoneboy na Black Coffee mkashangaa mshindi akawa Diamond.
🤣 🤣Vita anapigwa sadala siyo poa lakiniUzuri ni kwamba, hakuna sehemu mliyowahi kutia kura zenu mkatoboa😂.
Kati ya hao wanaopinga, unadhani kuna yoyote yule aliyewahi kumpigia kura? Nikionacho mimi ni kwamba wameamua kumpa trending bila wao kutarajia, sasahivi Kika kona ni Sadala... Sadala.... Sadala ... Nani mwingine umemsikia? Alisema atoe nyimbo yake saivi itakuwa balaaa😂.🤣 🤣Vita anapigwa sadala siyo poa lakini
Tuongeje muda ufike tutajuaKati ya hao wanaopinga, unadhani kuna yoyote yule aliyewahi kumpigia kura? Nikionacho mimi ni kwamba wameamua kumpa trending bila wao kutarajia, sasahivi Kika kona ni Sadala... Sadala.... Sadala ... Nani mwingine umemsikia? Alisema atoe nyimbo yake saivi itakuwa balaaa😂.
Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.Kura ya Polepole inamtosha Diamond
Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.Kura ya Polepole inamtosha Diamond