Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Kwani hiyo tunzo Vigezo ni vipi? Huko kujitolea kwa jamii ni kigezo pia? Pia kujitolea kwa jamii unakupima vipi?
 
Ni vyema ukaacha kukurupuka kujibu kila post uionayo
Kuona kitu kimekurupukiwa kipo kwenye mawazo na tafsiri ya msomaji.Hulazimishwi kukubali.Ila kuna kukubali kukubaliana au kutokukubaliana.Hasira za alfajiri zina tafsiri nyingi.
 
Kumbe una hasira pole alfajiri tu ushakasirika aisee wakurya mna kazi mno
Kuona kitu kimekurupukiwa kipo kwenye mawazo na tafsiri ya msomaji.Hulazimishwi kukubali.Ila kuna kukubali kukubaliana au kutokukubaliana.Hasira za alfajiri zina tafsiri nyingi.
 
duh mnawanga hata chimboni hawajafungua unaibiwa
Nimewahi kuibiwa hadi akili na wala sikusikitika.Aliyeniibia nikamuangalia kwa dharau anavyokimbia nikifurahi kwamba anaenda kunisaidia kuyatafakari ya ulimwengu.😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom