Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

Ninachoogopa ni kwamba hii vita ikiingia Burundi inaweza kutrigger machafuko ya kikabila na hata Genocide kwahiyo Jeshi la Burundi likae hapo mpakani na yeyote anayetaka kuingia ndani Burundi litoe Dozi nzito.
Burundi wamejaribu ku counter ilo ila wameshindwa ivyo hawana budi kurudi nyumbani kusubiri kitachojiri
 
Very true. Kuna jambo linatafutwa na Rwanda ambalo TISS wanapaswa kuamka. Kuna harusi nyingi sana ambazo serikali ya Kigali inagharamikia. Kuna mbili zinafanyika Moshi mwezi wa 3 na 6 mwaka huu. Zinaandaliwa na Rwanda Kwa jina la wabongo.
Sleeper agents?
 
m23 walisema wao ni wakongo , sasa Burundi wanafuata nin?
Rejea kipindi wakimbizi wa Burundi walipokimbilia Congo DRC kwa usalama wao kwa kupokelewa na wenzao(kabila lao) wazawa wa huko Congo DRC mashariki. Wameshakuwa tayari wametulia lakini ile Trauma ya mauaji ya kimbari; hilo zimwi halijawaacha (Ulipaji Kisasi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…