Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

m23 walisema wao ni wakongo , sasa Burundi wanafuata nin?
Tatizo lenu mnaelewaga kwa nyundo. Kiongozi mmoja alisema vita vile ni vya kikabila. Rais wa Burundi, alishajivua nguo na kujiunga na makundi yanayotaka kumaliza watutsi. Ana waasi wa kitutsi huko DRC. Wakishaungana na M23 unahisi nini? Na usiku huu, M23 italala Uvira. Na hao hao ndo walipo. Mengine jiongeze,hapo nimekudokeza tu.
 
mauaji hayo yalitokana na wao kuua maraisi wawili kwa mkupuo , wao pia ndo walifanya mauaji kwa wahutu ila wanajaribu kubadili stori
 
mauaji hayo yalitokana na wao kuua maraisi wawili kwa mkupuo , wao pia ndo walifanya mauaji kwa wahutu ila wanajaribu kubadili stori
Iwe iwavyo lakini jambo hilo la kuuana sio poa kabisa -halifai na wala hilo sio suluhisho bali kuongeza petroli kwenye moto.
 
kosa la nan ? watutsi wabeba kila lawama ukanda huu , sidhan kama wengine wote nj kabila moja na wao ndo kabila lililobakia ukanda huu wa afrika , kwann ni wao tu kuanzia Uganda , Rwanda , Burundi na DRC , kwao ndo kabila pekee kweny hz nchi ? ebu jiulize kwann mauaji ya kimbari utagundua chanzo ni wao , kwavile wabantu hawana akili bas hutunga vistori vya ajab ili kuhararisha ushetani wao , walipoua marais wenye asili ya kihutu walitegemea nin ? kupongezwa na wahutu ? je nan alikuwa mkorofi hapo ? mhutu au mtutsi ? na hiyo sio mara ya kwanza kuua marais wenye asili ya kihutu , pia wanatudanganya kuwa ni mauaji ya wahutu dhidi ya watutsi , je jeshi la kitutsu la RPF lilishindaj vita bila kuua wahutu wengi ? je hao wahutu walikimbia nin kwenda DRC kama sio kuhofia vifo vyao
 
Hapana mkuu,

Napingana na wewe. Tafuta habari za uhakika au uombe ujuzwe:

Watutsi hawakuwa kabila, ni tabaka. Sema tu kwa Rwanda, Burundi na DRC, ambapo Wahutu hao na Watutsi wamekuwa na visasi vya muda mrefu, kwingine si makabila.

ebu jiulize kwann mauaji ya kimbari utagundua chanzo ni wao: Hapa utakuwa umekosea sana ukisema chanzo ni wao kuuwa marais. Mfano, Rwanda mauaji ya watutsi yalianza mwaka 1957. Wakimbizi wa kwanza ambao wamekuja kuzaa uongozi uliopo madarakani Rwanda, ni kizazi kilichokimbia mwaka 1959. Enzi hizo, rais mhutu, anaambiwa warejee kwao, anasema nchi ilishajaa, hana pa kuwaweka. Akitumia kauli ya kwamba, glasi ya maji ikishajaa, ukiongeza mengine yanamwagika.

Kwani vita, ni match ya football siyo! Yaani uue ukoo wa mtu, aje akuchekee? Hao wahutu walipoua watu, ndo walitakiwa wachekewe, siyo? Na sasa lengo ni wamalize watutsi! Watu wakae washabikie! Pole yako. Mtasubili sana
 
mauaji hayo yalitokana na wao kuua maraisi wawili kwa mkupuo , wao pia ndo walifanya mauaji kwa wahutu ila wanajaribu kubadili stori
Kumbe unazo habari za ovyo kiasi hicho! Usitetee ujinga. Ukweli upo na unajulikana.
 
Katika mwamba hueleweki wewe 🤣🤣🤣🤣 leo uko m23 kesho uko majeshi ya Angola ghafla hatukajaa sawa uko ADF NALU leo uko kwa majeshi ya burundi we nae Yuda wewe🤣🤣
 
M23 wananifurahisha sana.nawatakia ushindi mwema na wakimaliza wake na Tanzania kuwashughulikia Hawa ccm
Yawezekana ccm inaharibu mambo mengu. Lakini Kagame ni mwehu pamoja na wewe mtusi mwenzake. Bahima empire mnayoitanua inawezekana na sometimes yaweza kuwa ngumu kuchukua kila eneo mlilopanga kuteka.
 
Unamtafuta muhali Max Melo
Kama wewe sio Mtanzania well n' good lakini ni Mtanzania jaribu kuchunga hizi kauli.
Mapandikizi watutsi wa Kagame wamo Tanzania na JF wa kumwaga. Utetezi, utii, upenzi, ushabiki na uaminifu wao kwa Rwanda na Kagame,, ni wa damu, maagizo, malipo na viapo. Wako kazini na wako tayari kwa lolote. Serikali inatakiwa kulitambua na kulifanyia kazi jambo hilo.
 
East African Community ni kijiwe cha kunywea kahawa kisicho na impact yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…