Umeona lakini maoni ya wengine kuhusu wewe?Wewe Mwarabu una utanzania gani mpaka uhoji mimi utanzania wangu?!ninyi ndio maana Trump na Netanyahu anawashughulikia.
imhotepHuyo sio Mtanzania. Ni mtutsi wa rwanda.
Hii hali itawagharimu mbeleni huko humu humu Tz.Nafurahi mnavyopewa kichapo na M23😂😂
Hawatumii akili hawa!Halafu anakuambia yy ni mTZ ila anaijua rwanda sababu anaendesha malori
Wewe na CDF wako mtavuliwa kabla hata ya ng’ombe, mnajipa umuhimu msiokuwa naoHii hali itawagharimu mbeleni huko humu humu Tz.
Badala ya muonyeshe mpo tofauti na PK kwa mauaji anayoyafanya, nyinyi mnapambana kumtetea.
Kwenye siasa watu wameshaanza kuwazungumzia nyinyi. CDF alishalizungumzia hili na usidhani limekufa kwani bado linafukuta ndani kwa ndani.
Mtakuja kupata tabu mbeleni shauri yenu! Nyinyi chukulieni kauli zenu kama ujanja ila mbeleni mtakuja kuumia.
Mtavuliwa uraia na wote kupewa gamba la wahamiaji.
Wewe mtutsi, unaniambia hivyo mtanzania?Wewe na CDF wako mtavuliwa kabla hata ya ng’ombe, mnajipa umuhimu msiokuwa nao
Hao congolese waliwaita banyamurenge ni watusi sasa ona walichovuna, ukabila nomaWewe mtutsi, unaniambia hivyo mtanzania?
🤣🤣🤣🤣🤣
Muda ni mwalimu mzuri, tusubiri tuone.
Kama inaiona Congo na Burundi sio lolote, kwanini pia isiione Tanzania sio lolote?sasa kama rwanda inaitesa congo, unataka kusema burundi nayo inaweza kuitesa rwanda? Rwanda inaona burundi si lolote si chochote kama tu imeweza kuitesa congo iliyo kubwa kuliko burundi
ikiishamaliza congo na burundi ndio itaiona tanzania si kitu, ila isijaribu kuichokoza tz, ni level nyingine hii itapiga mpaka kigaliKama inaiona Congo na Burundi sio lolote, kwanini pia isiione Tanzania sio lolote?
Kama wameshapata uraia, wakinyang'anywa wataanzisha M23 (TZ) na wataisajili BRELA.Hawatumii akili hawa!
Huwezi kuwa kwenye nchi ambayo imewagharamikia na mmetumia vitendeakazi vyote mpaka ukafika hapo ulipofika halafu unaikejeli kwenye mission yake inauopambana na Rwanda kwa kuleta Ututsi wako hali ya kuwa unaishi ndani ya hiyo nchi unayoikejeli.
Wao wanaona kama ujanja ila ni hatari huko mbeleni kwa usalama wao humu Tz.
Siasa za Tz sasa hivi zinabadilika vibaya sana zinajaa uzalendo (utanganyika). Kwa mambo yao wanayoyafanya mbeleni huko wanaweza wakatolewa kwenye nafasi zote muhimu nchini na kupewa gamba la wahamiaji. Na si ajabu wakarudishwa nchini kwao wakaambiwa wameingia kwa njia haramu Tz.
Yap kuna mtu anategewa mtego mbayaInaonekana ndo inapoelekea, kwa hili ni kama kuna watu wawili wanawindana. Na moto utakaowaka ni wa kuotea mbali.
Mtutsi ataishi kwa na kujilinda kwa Mtutu hatategemea huruma za watu fufani Mtutsi keshaona yote Kuuwawa kauwawa sana kuchukiwa kachukiwa sana kaitwa hadi "Inyenzi" ili aweze kumalizwa kama Mende lakini yupo ru anadunda kama kawa.Mbeleni huko mtakosa mtetezi kwa sababu nyote watutsi wa Rwanda mnaonekana hamna tofauti na PK.
Mimi hizo pseudo IDs hazinisumbui wengi ni Wahutu wa Tanzania ambao hawapendi mtu yeyote kuwa upande wa Paulo Kagame wana allergy na anything Pro TutsiUmeona lakini maoni ya wengine kuhusu wewe?
Wote wanakubaliana kuwa wewe ni mtutsi wa Rwanda.
Kwa nini wewe?
Watakosaje watetezi mkuu? Kwamba wanaishi kwa kudra za watetezi? Huenda ikawa ndo sababu wanahangaika kujietea.imhotep
Umeona hapo?
Mtapata tabu siku PK akifa au siku nchi yenu watu wakiwaamulia kwa kuchoka mauaji yenu mnayoyafanya Congo.
Mbeleni huko mtakosa mtetezi kwa sababu nyote watutsi wa Rwanda mnaonekana hamna tofauti na PK.
Badala ya wewe kuonyesha utofauti ili watu wawafikirie kwa namna tofauti nyinyi watutsi ndiyo kwanza mnapambana kumtetea kwenye majukwaa yote.
Tabia zenu mnazozionyesha mtapata tabu mbeleni huko na jamii nyengine zitawakataa.
Mbaya zaidi imeshaonekana hamna utii kwa Tz hata kama mmepewa uraia. Mfano hai ni humu JF na mtandao X huko watu wameshawafahamu.
Mbeleni anaweza akatokea rais wa Tz mwenye misimamo kama Trump ambaye akaitumia hii kama kigezo na nyinyi mkaondolewa kwenye nafasi zote kwenye hii nchi na mkapewa uraia wa daraja la ii, yaani mhamiaji.
Mfano wa wazi siku zote huwa nakuambia ni kuanzia kwa CDF alivyotoa tamko lake. Hii hali itaendelea usidhani imekufa. Ni mbegu hii inapandwa na itamea.
Fikiri vizuri na uonyeshe utofauti. Hii itawasaidia jamii nyengine kuwafikiria kwa utofauti.
Wako kibao hapa Mwanza Wengine wana Nida ila unawacheck unasema aya kama mkolani wapo kibaoTatizo lake anafikiri watu ni wajinga. Halafu watutsi wa Rwanda walivyo wajinga wote wanatumia mbinu hiyo hiyo moja.
Wakiambiwa wao ni watutsi wa Rwanda wanakana. Mbinu zao ni zilezile wakati viashiria vyote vinaonyesha wao si watanzania.
Hakuna mtanzania mwenye mihemuko kama yake. Tangu lini mtanzania ikitajwa ukatili wa Rwanda anakuwa na mhemuko wa kuitetea hata kama akibanwa kwa hoja?
Ni kosa ambalo hatojaribu kukifanya na anajua hiloKichekesho! Kama congo kubwa inanyukwa na rwanda, burundi ni kitu gani kwa rwanda? Kagame anaona burundi ni underdog tu akiamua anaifyagia asubuhi tu
Na hii ndio litawafanya muendelee kuuana kama kuku miaka na mikaka, mnahesabiana na kutishana ili kiwe nini, kwa vyovyote mnajuana, mnaacha kujadili matatizo mliyonayo mnajadili ujinga, huyu akiwa kabila hili yule anakuwa kabila gani? Hili jukwaa limeharibika siku hizi.Watutsi wamejaa humu, utaona comment zao
Aah wapi!Mtutsi ataishi kwa na kujilinda kwa Mtutu hatitegemea huruma za watu fufali Mtutsi keshaona yote Kuuwawa kauwawa sana kuchukiwa kachukiwa sana kaitwa hadi "Inyenzi" ili aweze kumalizwa kama Mende lakini yupo anadunda kama kawa.
Ila mimi bado nasiitiza mimi ni sio Mnyarwanda wala Mrundi mimi ni Mtanzania mimi ni PanAfricanist.
Na wewe ni mtutsi?Na hii ndio litawafanya muendelee kuuana kama kuku miaka na mikaka, mnahesabiana na kutishana ili kiwe nini, kwa vyovyote mnajuana, mnaacha kujadili matatizo mliyonayo mnajadili ujinga, huyu akiwa kabila hili yule anakuwa kabila gani? Hili jukwaa limeharibika siku hizi.
Mkuu kwa nini mnapenda kuihusisha Tanzania katika kila crap? Kwani kuna mashindano?ikiishamaliza congo na burundi ndio itaiona tanzania si kitu, ila isijaribu kuichokoza tz, ni level nyingine hii itapiga mpaka kigali