imhotep
Umeona hapo?
Mtapata tabu siku PK akifa au siku nchi yenu watu wakiwaamulia kwa kuchoka mauaji yenu mnayoyafanya Congo.
Mbeleni huko mtakosa mtetezi kwa sababu nyote watutsi wa Rwanda mnaonekana hamna tofauti na PK.
Badala ya wewe kuonyesha utofauti ili watu wawafikirie kwa namna tofauti nyinyi watutsi ndiyo kwanza mnapambana kumtetea kwenye majukwaa yote.
Tabia zenu mnazozionyesha mtapata tabu mbeleni huko na jamii nyengine zitawakataa.
Mbaya zaidi imeshaonekana hamna utii kwa Tz hata kama mmepewa uraia. Mfano hai ni humu JF na mtandao X huko watu wameshawafahamu.
Mbeleni anaweza akatokea rais wa Tz mwenye misimamo kama Trump ambaye akaitumia hii kama kigezo na nyinyi mkaondolewa kwenye nafasi zote kwenye hii nchi na mkapewa uraia wa daraja la ii, yaani mhamiaji.
Mfano wa wazi siku zote huwa nakuambia ni kuanzia kwa CDF alivyotoa tamko lake. Hii hali itaendelea usidhani imekufa. Ni mbegu hii inapandwa na itamea.
Fikiri vizuri na uonyeshe utofauti. Hii itawasaidia jamii nyengine kuwafikiria kwa utofauti.