Burundi yaongeza wanajeshi Kivu Kusini

Wako kibao hapa Mwanza Wengine wana Nida ila unawacheck unasema aya kama mkolani wapo kibao
CCM nayo muda si mrefu itatolewa kwenye mamlaka.

System imeshaona kuwa imefanya makosa makubwa kuwalea na mbeleni ndiyo wameona upuuzi wao waliyokuwa wanaufanya.

Kikubwa alikuwa anasubiriwa mpinzani anayejielewa akabidhiwe nchi.

Baada ya hapo kila kitu kitakaa sawa! Na vita vya Congo kadri vinavyozidi kuendelea na hao Tutsi wanazidi kuonyesha rangi zao halisi.

Watashughulikiwa hapa hapa Tz.
 
Na wewe ni mtutsi?
I can be anything, any problem? Usijipe jukumu la kuelimisha hao wanyaruaanda hauna umuhim unaojipa. Halafu unyaruanda is not a crime kama unavotaka kuaminisha watu humu. Ungekuwa unataka watu waishi kwa amani anywhere you should not be spreading hate everywhere katika hii forum.
 
CDF aliliona sasa wewe nani?

Wewe nani?
 
Inaonekana kuna makubaliano binafsi kati ya marais hasa wa burundi na SA na Tshiseked, kabla ya SADC kwenda kulikuwa na majeshi ya EAC na kwa mujibu wa kakuu wa EAC majeshi yao yalifanya kazi nzuri kama ilivyokuwa imepangwa ila rais Tshiseked aliwatimua.
 
Chai
 
Yaani mpaka madini yaliyoko Congo yatakapokwisha kuchimbwa ndo Banyamulenge na Intarahamwe wataondoka pale Kivu, Goma na Masisi
Hao ni wabangaizaji tu kuna makampuni ya mataifa ya dunia ya kwanza yako pale na yanafurahia vita vya kunguru na panzi
 
Ndio maana nawaambia Watutsi wa humu, ni bora Rwanda ipigane total war na DRC kuliko ipigane na Burundi. Total war na DRC hapo Kagame anaweza fanya mobilization ya raia, ila dhidi ya Burundi atafeli. Huwezi miaka yote kuwa unawaambia Wahutu ni mbuzi tu hawana lolote na jeshini huwapokei, ghafla inatokea vita dhidi ya Burundi ambayo inaongozwa na Wahutu then hapo ndipo unakumbuka mchango wa Wahutu wa Rwanda wakapigane na Wahutu wenzao wa Burundi.

Bila mobilization Rwanda haiipigi Burundi. Na population ya Watutsi wa Rwanda ikijiunga jeshini peke yake kupigana na Burundi, population ya Wahutu itakaa pembeni au itaungana na wenzao wa Burundi. Yaleyale ya majeshi ya Tanzania kushangiliwa na wananchi wa Uganda vitani.

Rwanda ya Kagame inahaha hapo Congo kuwamaliza FDRL na Wahutu wakimbizi inashindwa. Wakati waasi wa Red Tabala ambao Rwanda iliwafanyia recruitment kutoka kambi za wakimbizi wa Burundi waliopo Rwanda wamefifia nguvu.

Kwanza Red Tabala ilianza kama pingamizi la Nkurunziza ambaye alistaafu na uchaguzi mkuu ukafanyika akachaguliwa Ndayishimiye, hivyo hoja yao mfu haipo tena.

Pili mkuu wao alikamatwa Congo na jeshi la Burundi.

Tatu Burundi iliipiga mkwara Rwanda iache kutoa logistical support, maana Burundi ikiwasaidia FDRL patachimbika. Rwanda ikanywea.

Ikitokea vita haraka tu Burundi inawavuta FDRL inaungana nao, alafu 80%+ ya raia wa Rwanda ni Wahutu na Twa hawamtaki Kagame.
Huku upande wa Burundi zaidi ya 80% ya raia ni Wahutu na Rais wao Mhutu na majeshi yao ya Wahutu. Red Tabala hawana mchango wa maana wataipa Rwanda, labda Uganda hii ya Museveni na mwanae MK wakamsaidie mjomba wao Kagame.
 
Umechambua vizuri sana, hivi migogoro ya wahutu na watusi ipo siku itaisha kwa maeneo hayo? Kipi kifanyike ili waishi pamoja kwa amani?
 
Mimi ni mtanzania, naomba unieleze ukatili wa Rwanda ni upi?
 
Kichekesho! Kama congo kubwa inanyukwa na rwanda, burundi ni kitu gani kwa rwanda? Kagame anaona burundi ni underdog tu akiamua anaifyagia asubuhi tu
Eti ehhh!!??
Kamuulize kajaribu mara ngapi kajaribu kufanya hivyo na nini kimempata?
Kagame hataweza maana moaka sasa angekua kashaichukua hiyo Burundi, tatizo ni kwamba hawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…