imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wewe Mwarabu acha kuchonganisha Waafrika Israel imetoa Dozi na sasa inawafukuzia Jangwani.Muda utafika tu hapa Tz watu wataanza kuwakataa kwa mazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Mwarabu acha kuchonganisha Waafrika Israel imetoa Dozi na sasa inawafukuzia Jangwani.Muda utafika tu hapa Tz watu wataanza kuwakataa kwa mazima.
CCM nayo muda si mrefu itatolewa kwenye mamlaka.Wako kibao hapa Mwanza Wengine wana Nida ila unawacheck unasema aya kama mkolani wapo kibao
I can be anything, any problem? Usijipe jukumu la kuelimisha hao wanyaruaanda hauna umuhim unaojipa. Halafu unyaruanda is not a crime kama unavotaka kuaminisha watu humu. Ungekuwa unataka watu waishi kwa amani anywhere you should not be spreading hate everywhere katika hii forum.Na wewe ni mtutsi?
Subiri dawa yenu ipo jikoni.Wewe Mwarabu acha kuchonganisha Waafrika Israel imetoa Dozi na sasa inawafukuzia Jangwani.
CDF aliliona sasa wewe nani?I can be anything, any problem? Usijipe jukumu la kuelimisha hao wanyaruaanda hauna umuhim unaojipa. Halafu unyaruanda is not a crime kama unavotaka kuaminisha watu humu. Ungekuwa unataka watu waishi kwa amani anywhere you should not be spreading hate everywhere katika hii forum.
Niliona Video moja ya Mapinduzi ya Zanzibar Waafrika wakishughulikia Mwarabu au nikuweke hapa?!Subiri dawa yenu ipo jikoni.
Sawa, iweke.Niliona Video moja ya Mapinduzi ya Zanzibar Waafrika wakishughulikia Mwarabu au nikuweke hapa?!
Unataka kuona mauaji ya kimbari ya Warabu wenzako?!🫨Sawa, iweke.
🙄CDF aliliona sasa wewe nani?
Wewe nani?
Si umekomaa kuniita mwarabu?Unataka kuona mauaji ya kimbari ya Warabu wenzako?!🫨
Wewe umekomaa kuniita Mnyarwanda sasa naona ngoma ni droo...🤣😂Si umekomaa kuniita mwarabu?
Wewe ziweke wala mimi sina noma!
Acha ujinga we mwarabu Koko dawa yenu netanyahuUmeona lakini maoni ya wengine kuhusu wewe?
Wote wanakubaliana kuwa wewe ni mtutsi wa Rwanda.
Kwa nini wewe?
Inaonekana kuna makubaliano binafsi kati ya marais hasa wa burundi na SA na Tshiseked, kabla ya SADC kwenda kulikuwa na majeshi ya EAC na kwa mujibu wa kakuu wa EAC majeshi yao yalifanya kazi nzuri kama ilivyokuwa imepangwa ila rais Tshiseked aliwatimua.Kwa namba 6:
Huko South Afrika kamati teule ya bunge iliuliza, inakuwaje nchi 15 za SADC, nchi 3 tu ndo zipeleke wanajeshi? Wakahoji, nani analipa gharama za mission hiyo? Wakajibu (waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi), kuwa UN ndo inagharamia. Wakaulizwa, hela waliyoomba kwa ajiri ya mission hiyo? Jibu halikutolewa.
Mwingne nae akauliza, DRC ni memba wa EAC, ina maana gani kutenga badhi ya nchi wanachama kupeleka majeshi huko?
Sasa basi, kilichopo ni kwamba watu hawaaminiani, na katika hizo jumuia, kuna unafiki mubwa.
ChaiInaonekana kuna makubaliano binafsi kati ya marais hasa wa burundi na SA na Tshiseked, kabla ya SADC kwenda kulikuwa na majeshi ya EAC na kwa mujibu wa kakuu wa EAC majeshi yao yalifanya kazi nzuri kama ilivyokuwa imepangwa ila rais Tshiseked aliwatimua.
Hao ni wabangaizaji tu kuna makampuni ya mataifa ya dunia ya kwanza yako pale na yanafurahia vita vya kunguru na panziYaani mpaka madini yaliyoko Congo yatakapokwisha kuchimbwa ndo Banyamulenge na Intarahamwe wataondoka pale Kivu, Goma na Masisi
Inasemekana wanachukuliwa vijana toka mtaani na magerezani wanapewa mafunzo ya siku mbili tatu wanasukumwa front, ni majanga kama kweli itakuwa ni hivyo.Best wishes to Burundi Fighters
Ndio maana nawaambia Watutsi wa humu, ni bora Rwanda ipigane total war na DRC kuliko ipigane na Burundi. Total war na DRC hapo Kagame anaweza fanya mobilization ya raia, ila dhidi ya Burundi atafeli. Huwezi miaka yote kuwa unawaambia Wahutu ni mbuzi tu hawana lolote na jeshini huwapokei, ghafla inatokea vita dhidi ya Burundi ambayo inaongozwa na Wahutu then hapo ndipo unakumbuka mchango wa Wahutu wa Rwanda wakapigane na Wahutu wenzao wa Burundi.Idadi kubwa ya raia wa Burundi na rwanda wengi ni wahutu na Burundi inaongozwa na mhutu hivyo hata kukitokea machafuko ya ndani watutsi ambao ni wachache wanakalishwa tu. Kwa rwanda kikinuka watutsi wamekwisha maana wameifanya rwanda kuwa nchi ya watutsi licha ya wao kuwa wachache sana.
Viongozi wa serikali ya rwanda idadi kubwa kama sio wote ni watutsi. Kuanzia ikulu, jeshini, bungeni na hata polisi. Unadhani wahutu wa rwanda wanafurahia hilo. Wahutu ni 85% ya wananchi wote halafu watawaliwe na watutsi ambao ni 14% tu kati ya wananchi wote halafu nchi iwe na amani. Kwa ufupi rwanda ni nchi ambayo sio salama kabisa. Afadhali ya Burundi.
Umechambua vizuri sana, hivi migogoro ya wahutu na watusi ipo siku itaisha kwa maeneo hayo? Kipi kifanyike ili waishi pamoja kwa amani?Ndio maana nawaambia Watutsi wa humu, ni bora Rwanda ipigane total war na DRC kuliko ipigane na Burundi. Total war na DRC hapo Kagame anaweza fanya mobilization ya raia, ila dhidi ya Burundi atafeli. Huwezi miaka yote kuwa unawaambia Wahutu ni mbuzi tu hawana lolote na jeshini huwapokei, ghafla inatokea vita dhidi ya Burundi ambayo inaongozwa na Wahutu then hapo ndipo unakumbuka mchango wa Wahutu wa Rwanda wakapigane na Wahutu wenzao wa Burundi.
Bila mobilization Rwanda haiipigi Burundi. Na population ya Watutsi wa Rwanda ikijiunga jeshini peke yake kupigana na Burundi, population ya Wahutu itakaa pembeni au itaungana na wenzao wa Burundi. Yaleyale ya majeshi ya Tanzania kushangiliwa na wananchi wa Uganda vitani.
Rwanda ya Kagame inahaha hapo Congo kuwamaliza FDRL na Wahutu wakimbizi inashindwa. Wakati waasi wa Red Tabala ambao Rwanda iliwafanyia recruitment kutoka kambi za wakimbizi wa Burundi waliopo Rwanda wamefifia nguvu.
Kwanza Red Tabala ilianza kama pingamizi la Nkurunziza ambaye alistaafu na uchaguzi mkuu ukafanyika akachaguliwa Ndayishimiye, hivyo hoja yao mfu haipo tena.
Pili mkuu wao alikamatwa Congo na jeshi la Burundi.
Tatu Burundi iliipiga mkwara Rwanda iache kutoa logistical support, maana Burundi ikiwasaidia FDRL patachimbika. Rwanda ikanywea.
Ikitokea vita haraka tu Burundi inawavuta FDRL inaungana nao, alafu 80%+ ya raia wa Rwanda ni Wahutu na Twa hawamtaki Kagame.
Huku upande wa Burundi zaidi ya 80% ya raia ni Wahutu na Rais wao Mhutu na majeshi yao ya Wahutu. Red Tabala hawana mchango wa maana wataipa Rwanda, labda Uganda hii ya Museveni na mwanae MK wakamsaidie mjomba wao Kagame.
Mimi ni mtanzania, naomba unieleze ukatili wa Rwanda ni upi?Tatizo lake anafikiri watu ni wajinga. Halafu watutsi wa Rwanda walivyo wajinga wote wanatumia mbinu hiyo hiyo moja.
Wakiambiwa wao ni watutsi wa Rwanda wanakana. Mbinu zao ni zilezile wakati viashiria vyote vinaonyesha wao si watanzania.
Hakuna mtanzania mwenye mihemuko kama yake. Tangu lini mtanzania ikitajwa ukatili wa Rwanda anakuwa na mhemuko wa kuitetea hata kama akibanwa kwa hoja?
Eti ehhh!!??Kichekesho! Kama congo kubwa inanyukwa na rwanda, burundi ni kitu gani kwa rwanda? Kagame anaona burundi ni underdog tu akiamua anaifyagia asubuhi tu