NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Wakati mwingine kukubali Mimba sio rahisi kihivyo!!mnajikuta mpo watatu KWA dem mmoja wakati huo huo Hadi unafanya kusitisha MAHUSIANO!!sasabaadae unaambiwa mimba unashtuka!!Hii mada waisome sperm donor wote waliopo humu jf, inasikitisha sana mtu kujifanya anakupenda sasa ilhali alikukana na kukutelekeza tangu mimba🤤🤤, baba mlezi kamsitiri mama yako na wewe pasipo kusita, mthamini na ongea nae juu ya hilo mpe heshima na nafasi yake maana anastahili hilo na abarikiwe sana
Anajipendekeza baada ya kukosa mtoto wa kike tu
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe vuta picha tu Ungekua umepigwa mimba kama Tatu hivii..umejichokea unaishi kwa kuombaomba barabarani...Angekuja Kukuambia yeye ni baba yako?
Point ya msingi Ni hii...Duniani watu hukuchagua kwa sababu ya personal interest....Hiyo charming unayosema ndiyo ulaghai aliutumia wewe ukapatikana usifanye kurudia makosa binti....Oohoooooo!
Uzuri kuna vipimo vya DNA kama unajijua na wewe ulikula hapo mahala tena kavu mtoto si atazaliwa, itajulikana ni wako ama si wako.Wakati mwingine kukubali Mimba sio rahisi kihivyo!!mnajikuta mpo watatu KWA dem mmoja wakati huo huo Hadi unafanya kusitisha MAHUSIANO!!sasabaadae unaambiwa mimba unashtuka!!
Wanarudi wakiwa wazee au life limewabutua na akicheki mtoto maisha mazuri anaona kapata mahala pa kuponea.Wewe vuta picha tu Ungekua umepigwa mimba kama Tatu hivii..umejichokea unaishi kwa kuombaomba barabarani...Angekuja Kukuambia yeye ni baba yako?
Point ya msingi Ni hii...Duniani watu hukuchagua kwa sababu ya personal interest....Hiyo charming unayosema ndiyo ulaghai aliutumia wewe ukapatikana usifanye kurudia makosa binti....Oohoooooo!
CC: Yule mwanamke aliechana madaftari ya mtoto kisa ya meandikwa jina la baba mlezi.Kuzaa si kazi, kazi.......... parenting is everything mbegu za uzazi huzalishwa hata maabara lakin wa kukulea hawezi kutengenezwa maabara
Mbegu za uzazi haziwezi kutengenezwa maabara wacha kutushika maskio MUHENGA fekiKuzaa si kazi, kazi.......... parenting is everything mbegu za uzazi huzalishwa hata maabara lakin wa kukulea hawezi kutengenezwa maabara
Ameen!!Mungu akusimamieI just can't thank you enough guys, thank you so so much..!
Kuna nguvu nimeipata ya kujua muelekeo sahihi ni upi, it's like big weight has been lifted off my shoulders right now..!!
U'r a brave woman in all sorts of ways, it's a heart wrenching story and beautifully written. U are strong and kind woman to do that not many would, all the best to u.gracious,
this has been appreciated..!!
Ahsante kwa wine pia..!
Haha..U'r a brave woman in all sorts of ways, it's a heart wrenching story and beautifully written. U are strong and kind woman to do that not many would, all the best to u.
But u need someone brave and romantic like me, need to talk to u privately
Yaani umeshauri kitaalam sana big up watu kama wewe ni wachache! Mtoto anaweza kulishwa sumu ya maneno na akajenga chuki bila kujua upande wa pili
Kwahiyo ndio kumtelekeza hata mwanae miaka yote? Sasa kama labda alifumania akakimbia, sasa leo amerudi kufanya nini?duh! haya mambo yapo sana kwa sisi tunaoishi na masingle mother, ila pia unatakiwa kuelewa kuwa huyo baba ako mzazi aliachana na ur mumy kwa7bu zipi! usukute labda alifumaniwa, au usikute labda huyo baba ako mzazi ndiye aliyeharibu mahusiano yake kayi ya baba mlezi na mama ako