Kaah!! Kiukweli waafrika tuna roho chafu sana!! Huu ni zaidi ya uchawi duh!! Hapo imekuuma mpaka siki ya dagaa ulizokula inapanda kooni na kurudi tumboni ππEndelea kusafiri. Vijana wanaruka na mkeo. Wewe tafuta pesa tuuuu
Safi sanaaaaaaaaShughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.
Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN, EXCLUSIVE LUXURY LOUNGE na inflight menu na huduma super.
Tutafute pesa.
NB: Samahani kwa wote watakaohisi nimewakwaza kwa bandiko hili. Ila ndio uhalisia
Nitaomba kurudishwa piaSasa kwa ukata huo ulionao yanini ujitese kwenda?
Mbaga wewe kwanini ni maskini?Nitaomba kurudishwa pia
Ww acha tuu ndugu yangu πMbaga wewe kwanini ni maskini?
Huyu sio yule jamaa walimfunga?Mambo ya kawaida sana kwa matajiri wa JF , wenzako ni mwendo wa Private JetView attachment 3186491
This is Qatar Airways..... Flight number QEw76D.....This is Qatar Airways..... Flight number QEw76D.....
It's a final call for our passenger Ibn Unuq pls check in, we are waiting you...
Asante mkuu tukutane...... Bao hapo nje kabla ya kwenda huko DohaThis is Qatar Airways..... Flight number QEw76D.....
It's a final call for our passenger Waterbender pls check in, we are waiting you...
Sawa.Hakuna maanamke aliyelaumiwa kupenda pesa aliyoitolea jasho la halali.
Lawama ni zile pesa za kitapeli kwa kulegeza mimacho na kutegemea "kitumbua" kama mtaji ukijua kabisa hapa na-cheat. Mbaya zaidi unakamua hadi damu bila huruma.
35490263 M pesanitume kwa namba ipi?
Pisi zimeadimika hapa nataka nienda sao paulo brazilAsante mkuu tukutane...... Bao hapo nje kabla ya kwenda huko Doha
Hahaha!!DahπAmanyo
Sijabahatika kuona warembo wa huko Brazil...... Na huwa nawish nifike huko day onePisi zimeadimika hapa nataka nienda sao paulo brazil
0617661000nitume kwa namba ipi?
Nimetuma laki 5. Check salio0617661000
Seven years Mkuu heri yako.......watu tupo muongo na hatuioniIlitokea zali tiketi yangu ilikuwa ni kama vile haitambuliki. Mfumo wao ulikuwa na matatizo wakanikatia tiketi kwenye trip ambayo kumbe ilishakuwa revoked na ikatakiwa kuondolewa kwenye system. Nafika airport system haisomi maana safari ya hiyo tiketi haipo. Halafu ni lisafari lirefu kutoka LAX mpaka Heathrow. Twende huku mara kule hakuna suluhisho maana ilikuwa ni full flight economy kumejaa. Vu bin vu mpaka kwa meneja simu zinapigwa makao makuu Chicago (United Airlines)
Mara naambiwa kuna siti moja imepatikana business class twende. Sema nilikuwa nimetia pamba safi nilipofika huko sikuonekana out of place sana japo ni kweli kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Kiti tu kilivyo na entertainment system nikaona leo nimepanda level mpaka nikawa najiuliza huko first class huko kukoje?
Wahudumu wapole, vinywaji na vyakula bwerere, kiti kikubwa halafu kinasukumika kwa nyuma unalala kwa raha, yaani mpaka chooni kuko tofauti. Ni kati ya safari nilizosafiri kwa raha kabisa. Nikawa najisemea kuna haja kubwa ya kutafuta pesa kwa bidii aisee. Ila pesa nazo sasa mh! It has been more than 7 years na pesa ndo kwanza zinazidi kupiga chenga. Pesa hovyo sana aisee!π
Safi mkuuShughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.
Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN, EXCLUSIVE LUXURY LOUNGE na inflight menu na huduma super.
Tutafute pesa.
NB: Samahani kwa wote watakaohisi nimewakwaza kwa bandiko hili. Ila ndio uhalisia