KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hizo nazo unaziita takwimu? Unaonekana huna ujualo kuhusu takwimu.Tupe takwimu zako za kupinga Tanzania kuwa ya pili Afrika kwa kupokea watalii wengi kwa mwaka 2021
Hujielewi.Siyo kweli.
Na hata ingekuwa kweli, kuna kitu gani hapo cha kutambia kuwa Tanzania imekuwa ya pili Africa, kumbe kipimo chenyewe cha kuwa wa pili ni kibovu?
madhara ya kukariri.Uongo, there‘s no way Tanzania inaweza kupata Watalii wengi kuliko Seycheles, Mauritius, Tunisia, Morocco au hata Kenya tu!
Habari mbaya sana kwa yale mazombie ya Sukuma Gang
Egypt na Kenya hazipo! Hizo data feki.Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!
Unataka kusema Nubia Magazine ni reliable source kuzidi Business Insider Africa?Bwashee, ebu chungulia hapa uone top 10 halisi za Africa 2021: Top 10 Most Visited Countries In Africa 2021 ( Top Tourist Countries)
Ajabu na kweli: hata Mozambique wako juu yetu!
Lete data zako halaliEgypt na Kenya hazipo! Hizo data feki.
South Africa walioongoza walikuwa na lockdownSisi hatukuwa na lockdown simple
Unateseka ukiwa wapi?Hizo nazo unaziita takwimu? Unaonekana huna ujualo kuhusu takwimu.
Unatafuta mwaka ambao kuna matukio yasiyokuwa ya kawaida, halafu unatumia hiyo kujigamba juu yake?
South Africa walikuwa na lockdown na wameongoza! Lockdown sio kigezoHutasikia mtu akisimsifia JPM kwa uamuzi wake wa kukataa lockdown uliowesha hili kufanikiwa. Huwezi kusikia zaidi ya kumtukana marehemu na kutafuta mapungufu yake kwa tochi.
South Africa walikuwa na lockdown na wameongoza! Lockdown sio kigezo
Ina maana tumewazidi Kenya, na kenya hawapo kabisa kwenye top 5? I doubt it!!Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
Weka takwimu za kweli tulinganishe mkuuUongo, there‘s no way Tanzania inaweza kupata Watalii wengi kuliko Seycheles, Mauritius, Tunisia, Morocco au hata Kenya tu!
Uchambuzi wa kuaminika ni ule unaotoa takwimu za miaka ingawa mitano mfululizo. Kwa kuona mwenendo wa takwimu na kuoanisha na sababu zinazoweza kuwa zilisababisha hayo, hapo ndipo tutajua ukweli halisi. Kwa mfano kutofunga mpaka kunaweza kukawa sababu mojawapo ya watalii kuja Tanzania wakati nchi nyingine zilikuwa zimefunga mipaka yao. Hata hizo laki tisa za watalii kwa Tanzania kwa mwaka jana, inawezekana mwaka uliotangulia kulikuwa na zaidi ya milioni, lakini nchi nyingine zilikuwa na zaidi ya idadi hiyo. Kwa ufupi, takwimu za mwaka mmoja tu hazitoshelezi kuainisha ukweli wa mambo.Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
Uliza mwenye mada aweke takwimu ya mapato ya nchi za Africa kutokana na utalii in 2021 ndio utaona hii ni porojo tu.Ina maana tumewazidi Kenya, na kenya hawapo kabisa kwenye top 5? I doubt it!!