Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

Tupe takwimu zako za kupinga Tanzania kuwa ya pili Afrika kwa kupokea watalii wengi kwa mwaka 2021
Hizo nazo unaziita takwimu? Unaonekana huna ujualo kuhusu takwimu.
Unatafuta mwaka ambao kuna matukio yasiyokuwa ya kawaida, halafu unatumia hiyo kujigamba juu yake?
 
Majirani inawauma sana. Walivoisikia habari ya tapeli Zainab mnaijeria wakaidandia, wakapiga kampeni eti watalii waendee mombasa kenya basi, mombasa hii hii ukipita na mfuko ya chapati unapiigwa kabari na watu wanakushuhudia na wala hawakusaidii? 😀
 
Hizo nazo unaziita takwimu? Unaonekana huna ujualo kuhusu takwimu.
Unatafuta mwaka ambao kuna matukio yasiyokuwa ya kawaida, halafu unatumia hiyo kujigamba juu yake?
Unateseka ukiwa wapi?

Tupe takwimu zako basi kutoka hapo chato?😂
 
Hutasikia mtu akisimsifia JPM kwa uamuzi wake wa kukataa lockdown uliowesha hili kufanikiwa. Huwezi kusikia zaidi ya kumtukana marehemu na kutafuta mapungufu yake kwa tochi.
South Africa walikuwa na lockdown na wameongoza! Lockdown sio kigezo
 
Kirusi kibaya kabisa kinachoitafuna nchi hii...ni watu wenye akili kama zako na huyo unaesema anafungua nchi..mpaka hapo antvirus itakapowamaliza nyie watu tanzania haitakuwa huru...
 
South Africa walikuwa na lockdown na wameongoza! Lockdown sio kigezo

Tumejitangaza duniani hatudhadadii udhogakama wao wanavyo jiita rainbow nation so lazima watalii mashoga ndio waliongeza hiyo number. Hapo vipi?
 
Sasa tunaenda kuipiku South Africa
Wenye wivu na Mama yetu SaSHa wajinyongeee
 
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!

Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!

Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali

View attachment 2201768View attachment 2201769
Uchambuzi wa kuaminika ni ule unaotoa takwimu za miaka ingawa mitano mfululizo. Kwa kuona mwenendo wa takwimu na kuoanisha na sababu zinazoweza kuwa zilisababisha hayo, hapo ndipo tutajua ukweli halisi. Kwa mfano kutofunga mpaka kunaweza kukawa sababu mojawapo ya watalii kuja Tanzania wakati nchi nyingine zilikuwa zimefunga mipaka yao. Hata hizo laki tisa za watalii kwa Tanzania kwa mwaka jana, inawezekana mwaka uliotangulia kulikuwa na zaidi ya milioni, lakini nchi nyingine zilikuwa na zaidi ya idadi hiyo. Kwa ufupi, takwimu za mwaka mmoja tu hazitoshelezi kuainisha ukweli wa mambo.
 
Ina maana tumewazidi Kenya, na kenya hawapo kabisa kwenye top 5? I doubt it!!
Uliza mwenye mada aweke takwimu ya mapato ya nchi za Africa kutokana na utalii in 2021 ndio utaona hii ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom