Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

Busta kavuta mkwanja mrefu sana kusema tu hayo maneno, Sadala kaona wivu sana B Boy kupokelewa na mastaa wa USA, usikute hata Busta alikua hamjui Domo
 
Huyo Busta kamkosea sana MJ; kutumia jina lake kwenye mfano wa ajabu kiasi hiki.

Kama wazungu wameshindwa kumpata MJ mpya hadi sasa iweje aje kupatikana Tandale! Busta niliwahi kumshauri aache kutumia bangi yenye unyevunyevu hakusikia, oneni sasa matokeo.
 
Anzisha petition ya kupinga kama kina kigogo.
 
busta alikua hajalipuka na madawa yake au ilikua bado
 
Busta kavuta mkwanja mrefu sana kusema tu hayo maneno, Sadala kaona wivu sana B Boy kupokelewa na mastaa wa USA, usikute hata Busta alikua hamjui Domo
Si uwa mnasema Chibu hana hela?
 
Nimetema chai yote chini! Duh! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Weka hiyo link,
Sio screenshot, maana screenshot mnazichezea sana
 
Its a Party Remix. Busta Rhymes feat. Diamond Platnumz...
hahahaaa

Ila uongo mbaya Simba anajitahidi kupepeza bendera.
 
Mpokonyeni simu Buster asije akaharibu zaidi
Nalogoff
 
Unabishana na Busta Rhymes?
Huyo Busta Rhymes katoa maoni yake yeye kama yeye,haimaanishi kwakua yeye kasema hivyo basi kila mtu akubaliane nae,hayo ni mawazo yake na maoni yake tu,

So,Busta ana maanisha Diamond ni bora kuliko hata Burnaboy? 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…