Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

Kwa sasa huyo busta huko marekani ni sawa na dudu baya huku bongo
Unamaanisha busta ni chawa wa kule? Acha hizo.
Sioni kabisa watu kama davido na wizkid kufanya kolabo na busta!
 
Michael Jackson huyu au wa wapi ?

Busta kabuma, kazeeshwa na madawa. Nahisi hajielewi kabisa.
Busta Rhymes king of tongue twist in the world anaujua muziki wa dunia nje ndani. Kaona uwezo na maajabu ya Wacko Jacko wa Africa aka Diamond Platnumz.
Wewe endelea kuumia kuna siku Diamond atakupa stroke mdomo uende upande.
 
Huyo mwenye mdomo kama kilo tatu za kitimoto🤣
 
Busta Rhymes king of tongue twist in the world anaujua muziki wa dunia nje ndani. Kaona uwezo na maajabu ya Wacko Jacko wa Africa aka Diamond Platnumz.
Wewe endelea kuumia kuna siku Diamond atakupa stroke mdomo uende upande.
Msumari nchi nane😃
 
Sasa ulitaka atajwe Nani we kiazi ?
 
Anastahili...!!!
 
😂
 
Busta kavuta mkwanja mrefu sana kusema tu hayo maneno, Sadala kaona wivu sana B Boy kupokelewa na mastaa wa USA, usikute hata Busta alikua hamjui Domo
Assumptions, eti "usikute hata Basta alikua hamjui Domo".
Wivu ni gonjwa sugu.
 
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.

Then ukisema Busta ni No. 1 kwenye tongue twist sio sawa kuna kina Bone thugs n' harmony unawaacha wapi?
Ok, najua post utakuwa umiona.
Ila turekebishe hapa "msanii namba moja" iwe moja kati ya msanii bora wa style ya tongue twist.
 
Si ndo hii jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…