ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,012
HUO MFANO SIO KWELI HUKO MAREKANI UNAPOPASEMEA KILA SIKU WANAJADILI KUHUSU TRUMP NA WENGI HAWAMTAKI,siyo kweli Tizama mfano marekani baada ya mshindi Wa uraisi kutangazwa TU
Watu waliingia kazini
Lakini huku toka siku ya uchaguzi ni kelele za Mara ooh! Yule hakustahili, Mimi ndiyo nipo sahii yaani ni marumbano ya siasa mpaka 5yrs zina katika "
Hakuna kitu kinafanyika
Tatizo hata uraia wake hatuulewi una utata sijui jk alibugi wapi akamkabichi kijiti bwana yuleYule bwana kama katumwa kutuvurugia amani yetu vile
Sasa sisi wa kinondoni rojorojo mnoInatakiwa iwe Tanzania nzima
Kama ambavo mlishangilia kupigwa risasi kwa Tundu LissuBadala ya kukemea unashangaa!Duuu!
Usishangae kuwa ameshajenga kaghorofa kuleMatunda ya siasa za Pombe. Siku tukianza kuchinjana, ataenda kwao nchi jirani.
Rwanda ana ma Hotel anajenga kwa kasi kubwaUsishangae kuwa ameshajenga kaghorofa kule
Ndiyo maana CAG ameondolewaRwanda ana ma Hotel anajenga kwa kasi kubwa
Utawapata wapi ni "Watu wasisojulikana"Waliohusika wote wakamatwe wavune walichopanda. Tabia hii ikifumbiwa macho italeta madhara makubwa
Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao View attachment 1256289View attachment 1256290View attachment 1256291
Unaongea unachojua au unapayuka angalia ilisiyo kweli Tizama mfano marekani baada ya mshindi Wa uraisi kutangazwa TU
Watu waliingia kazini
Lakini huku toka siku ya uchaguzi ni kelele za Mara ooh! Yule hakustahili, Mimi ndiyo nipo sahii yaani ni marumbano ya siasa mpaka 5yrs zina katika "
Hakuna kitu kinafanyika
Huyu ana mengi mno. Tusubiri ang'oke. Watu watashindwa kushangaa.Ndiyo maana CAG ameondolewa
Nilishasema tangia awali choma nyumba mashamba si deal,mkichoma nyumba zao akili zitawarudi na suluhu itapatikana.Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao View attachment 1256289View attachment 1256290View attachment 1256291
Wameanza kiuoga wangepiga kibiriti nyumba zao ingekuwa poa sana.Mnyoosho umeanza.
Watakuwa nyumbu tu hao. Ndo tabia yaoYaani Tanzania kila jambo siasa, muda wa maendeleo hakuna (aibu hii khaa !! )