HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,887
Hapo ndipo walipobugi kwa kweli, jamaa kapewa kijiti amalizie relay kaamua kurudi walipotoka wenzakeTatizo hata uraia wake hatuulewi una utata sijui jk alibugi wapi akamkabichi kijiti bwana yule
Acha kusambaza uongo wewe dada ni kosa la jinai la matumizi ya mitandao!Habari kutoka jimbo la Butiama mkoani Mara zinaeleza kuwa uharibifu umetokea kwenye mashamba ya watendaji wanaosimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kile kinachoelezwa ni baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kukatwa majina yao View attachment 1256289
View attachment 1256290View attachment 1256291
Acha uongo! Habari ya uongo hiyo!Adhabu wanayojiandalia CCM ni kubwa mno.
Rais Magufuli anawadanganya hawa watu akijua yeye ana kinga ila hawa tutakaobaki nao mtaani watalipia kila punje ya usaliti waliofanya.
Kama Rais anayanyamazia haya akijijenga yeye, basi fedheha wanayopitia team Kikwete yeye ataipitia mara 100 yake, watu wana maumivu makubwa moyoni na hayaponyeki kwa kutumia polisi na kila aina ya dhulma, haya watayalipa kwa namna itakayofaa na kwa muda utakaofaa lakini kila msaliti atalipia gaharama kwa namna yoyte ile.
Utanyooka tu!Tatizo hata uraia wake hatuulewi una utata sijui jk alibugi wapi akamkabichi kijiti bwana yule
Sio siasa zilizotufikisha huko bali watu wajinga wanaotumia siasa kutugawa badala ya kutuunganisha.Aisee siasa zinatufikisha huku?
Tunataka wenyeweAisee siasa zinatufikisha huku?
Hii methali ngumu sana mkuuMchuma janga hula na wa kwao.
Ninikilisababisha? Msitupe lawama kabla yakujua chanzo, kwani ni mwendawazimu tuu aamke akate mazao? Lazima kuna ***** ***** hapo.cutelove,
Waliohusika wote wakamatwe wavune walichopanda. Tabia hii ikifumbiwa macho italeta madhara makubwa
Pia anajenga na England mahotel ya kutosha pamoja na AmericaRwanda ana ma Hotel anajenga kwa kasi kubwa