JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.
Huyu babu naye ni mnafiki tu hana loloteAkizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu.
“Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au kuku,” anasema Butiku na kuongeza kuwa kiongozi ambaye natambui hilo basi huyo si kiongozi.
Amesema “Lazima wakumbuke wanaongoza watu wanaopenda utu, unaweza kulewa kidogo madaraka ukasahau kama unaongoza watu, lakini pia hata wananchi nao wanaweza kuwa na tabia mbaya kama wanamchagua kiongozi na kisha hawamsikilizi.
Chanzo: ITV
Huyu babu naye ni mnafiki tu hana lolote
Mbona amejibana CCM si atoke aingie upinzani kama kweli anachukizwa?Mtakubali tu mwaka huu! Watu sio majuha kama mlivyo na bibi yenu!
Hao vikaragosi hawana uwezo wa kujibu hoja za Bashiru wamebakia kupuyanga tu kama bawana vichwa! Ni wapuuzi sana hawa! Sasa Butiku anawachana chana mabwege hawa!Jibuni hoja za waleta hoja sio kuleta bla bla za kujadili watu
Nani alikwambia mimi ni CCM yaani CCM hii ya Samia na Kinana? Usinihusishe na utoporo huu!Mbona amejibana CCM si atoke aingie upinzani kama kweli anachukizwa?
You might be very right. It seems bashiru ana kundi kubwa nyuma yake maana hawa wazee akina Butiku, Warioba unaona kabisa wanamtetea. Na akina Butiku na warioba, wana kundi lao...ambalo it seems liko against SamiaNilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.
Hao wote awana hoja kipindi wenzao walipokuwa wanaongea waliwaona wanawashwa washwa sasa ni zamu yao tutaona nani anajikunaJibuni hoja za waleta hoja sio kuleta bla bla za kujadili watu
Sioni ubaya hao watu wa Bashiru kuwa upande wa haki, vinginevyo unamaanisha ulijua kila mtu anaamini ujinga wa kusifia.Nilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.
SawaNani alikwambia mimi ni CCM yaani CCM hii ya Samia na Kinana? Usinihusishe na utoporo huu!
Mungu amlinde Rais Samia. Wabaya wake hawalali kuhakikisha wanamharibia ili aonekane kiongozi dhaifu. Ukweli wateule wake kwa sehemu fulani wamemuangusha ingawa inahitajika saikolojia kukabiliana na ukweli wa mambo ulipo. Mfano tu akimfukuza kazi Nape, Makamba na Mwigulu na Riziwani na Waziri wa Maji basi mambo yanaweza kugeuka fasta na watu wakaanza kumuamini.Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu.
“Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au kuku,” anasema Butiku na kuongeza kuwa kiongozi ambaye natambui hilo basi huyo si kiongozi.
Amesema “Lazima wakumbuke wanaongoza watu wanaopenda utu, unaweza kulewa kidogo madaraka ukasahau kama unaongoza watu, lakini pia hata wananchi nao wanaweza kuwa na tabia mbaya kama wanamchagua kiongozi na kisha hawamsikilizi.
Chanzo: ITV
Dr.Bashiru ni mbunge nashangaa unaandika anakosa mlo, hakuna kitu kama hicho.You might be very right. It seems bashiru ana kundi kubwa nyuma yake maana hawa wazee akina Butiku, Warioba unaona kabisa wanamtetea. Na akina Butiku na warioba, wana kundi lao...ambalo it seems liko against Samia
Definitely alichosema Bashiru ni ukweli, kweli mtupu, LAKINI yeye katika historia ya Tanzania, ndiye amekuwa mtu katili , muuaji, mfungaji watu, mbambikia makosa/kesi watu akitimiza maagizo ya Magufuli. Alimuona magufuli kama Mungu na alimpamba kama wa sasa wanavyompmba Sami anayewawezesha kupata mlo wao. Likewise, Bashiru alimuabudu magufuli kwa vile alikuwa anapata mkate wake toka kwa Magufuli. Kwahiyo ni mnafiki, siyo kuwa anawaonea huruma wakulima, bali ni kwa vile amekosa mlo aliokuwa anaupata toka kwa Magufduli.
Alijichagulia maisha yeye mwenyewe na alipopata madaraka akawa na mihemko ya kumfunika Magufuli! Upumbavu huu utamtafuna mpaka 202 5 na kama anaakili bora asigombee ata pata tabu haijawahi tokea!Mungu amlinde Rais Samia. Wabaya wake hawalali kuhakikisha wanamharibia ili aonekane kiongozi dhaifu. Ukweli wateule wake kwa sehemu fulani wamemuangusha ingawa inahitajika saikolojia kukabiliana na ukweli wa mambo ulipo. Mfano tu akimfukuza kazi Nape, Makamba na Mwigulu na Riziwani na Waziri wa Maji basi mambo yanaweza kugeuka fasta na watu wakaanza kumuamini.
Samia ni dhaifu, kwasababu kama ana wateule wasiojielewa kwanini asiwaondoe?Mungu amlinde Rais Samia. Wabaya wake hawalali kuhakikisha wanamharibia ili aonekane kiongozi dhaifu. Ukweli wateule wake kwa sehemu fulani wamemuangusha ingawa inahitajika saikolojia kukabiliana na ukweli wa mambo ulipo. Mfano tu akimfukuza kazi Nape, Makamba na Mwigulu na Riziwani na Waziri wa Maji basi mambo yanaweza kugeuka fasta na watu wakaanza kumuamini.