You might be very right. It seems bashiru ana kundi kubwa nyuma yake maana hawa wazee akina Butiku, Warioba unaona kabisa wanamtetea. Na akina Butiku na warioba, wana kundi lao...ambalo it seems liko against Samia
Definitely alichosema Bashiru ni ukweli, kweli mtupu, LAKINI yeye katika historia ya Tanzania, ndiye amekuwa mtu katili , muuaji, mfungaji watu, mbambikia makosa/kesi watu akitimiza maagizo ya Magufuli. Alimuona magufuli kama Mungu na alimpamba kama wa sasa wanavyompmba Sami anayewawezesha kupata mlo wao.
Likewise, Bashiru alimuabudu magufuli kwa vile alikuwa anapata mkate wake toka kwa Magufuli. Kwahiyo ni mnafiki, siyo kuwa anawaonea huruma wakulima, bali ni kwa vile amekosa mlo aliokuwa anaupata toka kwa Magufduli.