Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
You might be very right. It seems bashiru ana kundi kubwa nyuma yake maana hawa wazee akina Butiku, Warioba unaona kabisa wanamtetea. Na akina Butiku na warioba, wana kundi lao....
Uko sahihi kwa asilimia 100. Bashiru ni mnafiki hata kama ameongea ukweli. Lakini yeye ndio muasisi wa watu kuzuiwa kutoa maoni yao. Chini ya utawala wa kina Bashiru wetu ndio walikuwa wakitekwa, na chaguzi za nchi hii kunajisiwa.