Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

Wazalendo hatujawahi kufa mioyo, kama kuna watu wana roho ngumu ni kundi la wazalendo, nchi hii haiwezi kuwa mateka wa mabwanyenye hata siku moja. We are ready out for the victory, Viva wazalendo wote na hii vita ikatuunganishe tuikomboe nchi yetu
 
Kumkaanga huyu mama ni kumuonea tu. Uwezo wake wa kuongoza nchi ndio ulipoishia, after all upresidaa ulimwangukia ghafla tu mwacheni amalizie uongozi wake akapumzike.

Alichemka mwalimu Nyerere ije kuwa mama Samia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona amejibana CCM si atoke aingie upinzani kama kweli anachukizwa?
Pale CDM mna wazee waadilifu aina ya Butiku na Warioba?

Unaamini Ili useme Kweli lazima uwe CDM?

Wahuni wapo vyama vyote, hivyo UKWELI pia unaweza semwa na waliomo ndani ya chama tawala.

Jadili hoja baas. Unahangaika na Mzee ambaye Si saizi Yako.
 
1. Mlo wake na madaraka havilingani na utukufu aliokuwa nao wakati wa Magufuli, hivyo he can not be happy at all! kwa mtu ambaye amemnyanganya hayo madaraka makubwa na pesa nyingi alizokuwa akizipata.
2. Bashiru ni mnafiki kama nilivyoeleza kwenye post uliyojibu. Hawezi kuaminika kuwa kweli anawapenda wakulima, awatetea, au amejitafakari na kuona watu waache ujinga (kama ilivyouita) wa kusifi, NEVER! anatafuta mahali pa kumpiga/kumdistabilize Samia aliyemnyanganya madaraka aliyopewa na Magufuli!
Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust!
Pointi zako zote 1&2 ni hisia tupu, ni kama vile umeingia ndani ya moyo/akili ya Dr. Bashiru ukajua anachowaza, hauko sahihi.
 
Nilijua tu Bashiru Ali hayuko peke yake! Ngoja tuone mwisho wa huu mtifuano.
Kumbe nawe ni mjinga wa kusifia mtu na si taasisi au serikali kwa ujumla wake? Je alichoongea Bashiru ni ukweli au si kweli? Wapenda haki na demokrasia wote tunaiunga mkono kauli ile kwasababu ni ya haki, kweli na ina mantiki.
 
Unapo ni quote, uwe una common sense ya kutosha. Nimemsifia nani kati ya hao wapuuzi wako wote?

Huyo Bashiru wako ana ukweli gani? Mbona alipoteuliwa kuwa Katibu mkuu wa ccm hakuwahi kuisimamia hiyo haki anayoipigania leo?

Angekuwa bado ni Katibu mkuu wa chama, au Katibu Mkuu Kiongozi; angeongea hayo aliyo yaongea? Au ni kwa sababu amejiona hana tena nafasi kwenye chama, ndiyo ajifanye kusimamia haki!

Huyo Bashiru wako ni mnafiki tu kama walivyo wanafiki wengine.
 
Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu.

“Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au kuku,” anasema Butiku na kuongeza kuwa kiongozi ambaye natambui hilo basi huyo si kiongozi.

Amesema “Lazima wakumbuke wanaongoza watu wanaopenda utu, unaweza kulewa kidogo madaraka ukasahau kama unaongoza watu, lakini pia hata wananchi nao wanaweza kuwa na tabia mbaya kama wanamchagua kiongozi na kisha hawamsikilizi.

Chanzo: ITV
Chama kinaenda porojojololo
 
Mungu amlinde Rais Samia. Wabaya wake hawalali kuhakikisha wanamharibia ili aonekane kiongozi dhaifu. Ukweli wateule wake kwa sehemu fulani wamemuangusha ingawa inahitajika saikolojia kukabiliana na ukweli wa mambo ulipo. Mfano tu akimfukuza kazi Nape, Makamba na Mwigulu na Riziwani na Waziri wa Maji basi mambo yanaweza kugeuka fasta na watu wakaanza kumuamini.
Kwa jeuri ipi hao ndio walipigana vita front ya kumwangusha mchato hana uthubutu huo na huo Uraisi wamemwazima tu Kwa muda ajue Hilo liko wazi. Serikali hii itaenda hadi 2025 ikiwa na hao watu, hawatoki hapo.
 
Asante Mzee Butiku, tunafurahi kuwasikia mkisema Kweli bila kuogopa.

Ezi za Nyerere Wanachama waliruhusiwa kukosoa utawala ikiwa tu Wana Nia njema ya kujenga Nchi.Ninakuahidi kizazi hicho hakitakoma, tutazidi kuwajengea vijana uthubutu wa Kukosoa Watawala na kuwasaidia kuiona njia sahihi zaidi yenye TIJA Kwa Nchi.

Viongozi watambue kuwa kuchaguliwa kutuongoza haimaaishi Wana akili zaidi yetu, tunazo akili, ni kwamba tu wote hatuwezi kuwa viongozi Kwa mara moja.

Wajiheshimu, wachape KAZI Kwa uadilifu, waangalie changamoto za wananchi Kwa makini, tutawaheshimu.

Ameeeen.
 
Watu wanaona kinachofanyika na wana haki ya kuhoji.

Hii nchi sio mali ya mtu binafsi au kikundi flani ni ya watanzania wote.

Kitendo cha kikundi flani kutaka kuhodhi Taifa zima na kuwafanya wananchi kama wanyama hakikubaliki , tunakikataa. Tutakipinga.
 
Unapo ni quote, uwe una common sense ya kutosha. Nimemsifia nani kati ya hao wapuuzi wako wote?

Huyo Bashiru wako ana ukweli gani? Mbona alipoteuliwa kuwa Katibu mkuu wa ccm hakuwahi kuisimamia hiyo haki anayoipigania leo?

Angekuwa bado ni Katibu mkuu wa chama, au Katibu Mkuu Kiongozi; angeongea hayo aliyo yaongea? Au ni kwa sababu amejiona hana tena nafasi kwenye chama, ndiyo ajifanye kusimamia haki!

Huyo Bashiru wako ni mnafiki tu kama walivyo wanafiki wengine.
Sasa mimi na wewe nani mwenye common sense hapa? Nimeunga mkono KAULI kwasababu ni ya haki, kweli na ina mantiki na SI KUMUUNGA MKONO MTOA KAULI. Kauli hii ata ingetolewa na mwendazake au mzee wa jaralani ningeiunga mkono.
Pia unaposema hao WAPUUZI wangu ni akina nani maana sijataja watu kwenye post yangu!
 
Kuna mijitu mipunbafu eti Mama Samia Hana uwezo wa kuongoza. Sasa nchi miaka 60 nimaskini hao waliokuwa wanatawala walikuwa na uwezo gan? Acheni ujinga muache mama afanyekazi wenye akili tunaona Mambo makubwa anayofanya. Msitake chuki zenu binafisi kwa mama mtuhusishe na sisi. Na mama tunae Mungu akijalia mpaka2030
 
Kumkaanga huyu mama ni kumuonea tu. Uwezo wake wa kuongoza nchi ndio ulipoishia, after all upresidaa ulimwangukia ghafla tu mwacheni amalizie uongozi wake akapumzike.

Alichemka mwalimu Nyerere ije kuwa mama Samia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida iko kwa wanaomtumia kutuhujumu wananchi ndo wanamdhihaki eti anaupiga mwingi wakati wanaelewa kabisa haya maji si saizi yake
 
Kuna mijitu mipunbafu eti Mama Samia Hana uwezo wa kuongoza. Sasa nchi miaka 60 nimaskini hao waliokuwa wanatawala walikuwa na uwezo gan? Acheni ujinga muache mama afanyekazi wenye akili tunaona Mambo makubwa anayofanya. Msitake chuki zenu binafisi kwa mama mtuhusishe na sisi. Na mama tunae Mungu akijalia mpaka2030
Punguza kulamba asali wewe ili uimarishe afya yako ya akili.
 
Back
Top Bottom