Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
training, training in that field!Mkuu mbona mimi nilikuwa natumia hii Nokia 1100 kwa muda mrefu na ilikuwa inaniruhusu kuweka nywila ya kidigitali.
View attachment 3341617
Kiutaalamu Kiswaswadu kina attack surface ndogo ukiilinganisha na Smartphone. Smartphone ina connect na WIFI, Bluetooth, 3G/4G/5G, GPS etc. Bado humo humo unaweza kuinstall apps ambazo zinaweza kuwa ndio virusi vyenyewe, hivyo vyote vinaongeza uwezekano wa kuwa hacked kirahisi kuliko Kiswaswadu kinakuwezesha kupiga na kupokea meseji fupi.
Kwenye masuala "technical" ni muhimu zaidi kuweka objectivity...tusiangalie nani amesema nini bali tuangalie nini kimesemwa.
washikaji zangu mamod wamekukosea nini tena chief😂😂Sina shaka na Maxence Melo nataka awafurumushe all his Modinyos na awe anaratibu shughuli za huku mwenyewe naamini mambo yatakuwa bomba sana.
MOSSAD waliingilia supply chain wakapandikiza vitu vyao na Hezbollah walipokea hizo pagers pasipo kujua kuwa kuwa zilishafunguliwa na kupandikizwa vitu.unakumbuka milipuko ya pagers, kifaa kikichakuwa kwenye network kinafikika
MOSSAD waliingilia supply chain wakapandikiza vitu vyao na Hezbollah walipokea hizo pagers pasipo kujua kuwa kuwa zilishafunguliwa na kupandikizwa vitu.Ila watu kama hujui IT bora ukae kimya, hujui kwamba Hezbollah walitumia pagers kutega mabomu ni aina ya hacking, viswaswadu vinahackiwa vizuri tu
Enheee!Ni kama ma winga au sio..?😅
Watu wanacheza na USSD & SS7 signalling unahackiwa vizuri tu.MOSSAD waliingilia supply chain wakapandikiza vitu vyao na Hezbollah walipokea hizo pagers pasipo kujua kuwa kuwa zilishafunguliwa na kupandikizwa vitu.
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
View attachment 3341613
Juzi walifuta comments zaidi ya 100 katika Uzi wetu fulani na hakukuwa na contents mbaya katika zile comments 😃 na pia waliupigia kufuli Uzi kwamba hakuna ku reply tena 😂.washikaji zangu mamod wamekukosea nini tena chief😂😂
Mwenyewe naona kabisa katupiga hapa.Hapa katupiga parefu..
Au aje aeleze alikua anaongea kwenye Muktadha gani,maana hiyo kichwa cha habari tu..simu ipo miles from here haina uwezo wa kuunganisha internet, na simu nyingine ina internet, ipi rahisi ku hack??asitutanie..simu haina apps wala huwezi ku install apps inakuaje rahisiMwenyewe naona kabisa katupiga hapa.
Viswaswadu vilitumika kwenye money heist ili kupunguza adha ya udukuzi,kumbe kinyume chake ni vyepesi kudukuliwaa🤣Au aje aeleze alikua anaongea kwenye Muktadha gani,maana hiyo kichwa cha habari tu..simu ipo miles from here haina uwezo wa kuunganisha internet, na simu nyingine ina internet, ipi rahisi ku hack??asitutanie..simu haina apps wala huwezi ku install apps inakuaje rahisi
Mimi pia mtaalamu wa cyber security..muite tushindane kwa hoja, mimi nasema ku hack smartphone rahisi kuliko kiswaswaduMajirani watatucheka hasa kiswaswadu unadukuwa nini ?? Japo sojafuatilia ila nahisi kuingilia mawasiliano ya watu wanawasiliana kutumia viswaswadu huenda ikawa rahisi kuliko kufanya hvyo kwa wanaowasiliana kutumia smartphone. Sababu naona matukio ya aina hii ya attack imepunguwa kipi hichi smartphone zimeongezeka.
Kingine kwakuwa yeye ni mtaalamu wa mambo ya IT kwa muda mrefu anajua nini alichomaanisha zaidi
Ndio maana nimekaa kimya.Mimi nimeanza kudili na software engineer za simu android kutoka zimeanza hata ufahamu hizo simu.Ila watu kama hujui IT bora ukae kimya, hujui kwamba Hezbollah walitumia pagers kutega mabomu ni aina ya hacking, viswaswadu vinahackiwa vizuri tu.
Vizuri.Ndio maana nimekaa kimya.Mimi nimeanza kudili na software engineer za simu android kutoka zimeanza hata ufahamu hizo simu.
Kujishusha ni kuona uwezo wa watu.
Nahisi hata hizo simu uzifahamu
Tatizo wataalam wa tz walishatuangusha sana.Nchi yetu watu wapo tayari kumuamini mwanasiasa ambaye anazungumzia jambo ambalo hana utaalamu nalo , Ila sio kumuamini mtaalamu na mbobezi katika jambo Fulani inafikirisha pia.
Ukimsikiliza Msigwa Jana na ukamsikiliza Melo Unaona IPO safari ya utambuzi kwa Mama Tanzania.