SHIDA INAKUJA HIVI NILICHO GUNDUA HAPA TZ.Sidhani kama yupo sahihi kuhusiana na suala hili.
Ukweli halisi ni kwamba ni rahisi zaidi kudukuliwa katika simu za Smartphone kuliko simu za kawaida yaani Cellphones.
Ukimsikia mtu anambishia mtaalam wa jambo fulani anza mara moja kukaa kwa tahadhari na huyo mtu yawezekana ni alshabab😂😂😂Na neno linalotambulika ni "rununu" kiswaswadu ni limevuma siku hizi tu!.
Sina hakika sana na kauli yake!, ila kwakuwa daktari wa maeneo hayo ndo kasema basi sawa!...😅
Pagers israel walikua nazo physically kabla hazijawafikia hizbullahunakumbuka milipuko ya pagers, kifaa kikichakuwa kwenye network kinafikika
We mshamba sana,land line zinahackiwa iwe kiswaswaduWenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
View attachment 3341613
2G phones, while simpler and often less expensive, are significantly less secure than smartphones due to their outdated technology and lack of robust encryption. Smartphones offer more advanced security features and regular updates, but also present different vulnerabilities.
2G Phones Security Concerns:
Weak Encryption:
2G technology relies on weak encryption that can be easily cracked, allowing attackers to intercept calls and text messages.
No Authentication:
2G lacks a robust authentication mechanism, meaning anyone can impersonate a real cell tower, leading to fake cell tower attacks.
Outdated Software:
2G phones often run outdated software with known vulnerabilities that are not regularly patched.
Phased Out:
Many countries are phasing out 2G networks due to security concerns and the need to allocate frequency spectrum for newer technologies.
Smartphone Security Considerations:
Advanced Security Features:
Smartphones offer features like biometric authentication, encryption, and firewalls to protect data.
Regular Updates:
Smartphones receive regular software updates that address security vulnerabilities and improve performance.
Malware and Phishing:
Smartphones are susceptible to malware, phishing attacks, and other online threats, requiring users to be cautious about installing apps and clicking on links.
Physical Access:
Smartphones can be vulnerable to physical access, where attackers can steal data or install malware.
Cellular MitM Attacks:
Attackers can intercept communications on cellular networks, including smartphones, through man-in-the-middle attacks.
Ukiwa na smartphone Na kutumia secure connection data zako zinabadilishwa kwenda mfumo ambao husomeki hata kina voda na Tigo hawajui.Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
View attachment 3341613
Ukubwa wa tako au?kalale na mumeo achana mada za wakubwa hapa
hakuna kampuni ya mawasiliano inayoweza kusoma whatsapp ila kama watatumia namba yako kuomba clone ya nywira ya usajili wa whatsapp.Ukiwa na smartphone Na kutumia secure connection data zako zinabadilishwa kwenda mfumo ambao husomeki hata kina voda na Tigo hawajui.
Ila kiswaswadu kila kitu kipo wazi, kina voda na Tigo ama mtu yoyote katikati anasema bila wasiwasi.
Au siyo!!Achana na mada za watu kaoshe vyombo na nguo
Hapo nadhani alimaanisha kutrack kiswaswadu ni rahisi maana huwei tumia zile VPN ila smart ngumu unaona mtu yuko ulaya kumbe yupo buza.hakuna kampuni ya mawasiliano inayoweza kusoma whatsapp ila kama watatumia namba yako kuomba clone ya nywira ya usajili wa whatsapp.
kiswaswadu hakina mfumo wa kuingiliwa na computer sababu uwezi wa kudukuliwa labda mtandao wasome meseji zao na kutrack IMEI.
kiswaswadi mwisho wake ni IMEI tu.Hapo nadhani alimaanisha kutrack kiswaswadu ni rahisi maana huwei tumia zile VPN ila smart ngumu unaona mtu yuko ulaya kumbe yupo buza.
Ngoja tuone itakuajeNasubiria comments za huyu jamaa
Kuna 2FA na mifumo mingi tu hata mtu akiwa na no yako hawezi access data zako usikariri.hakuna kampuni ya mawasiliano inayoweza kusoma whatsapp ila kama watatumia namba yako kuomba clone ya nywira ya usajili wa whatsapp.
kiswaswadu hakina mfumo wa kuingiliwa na computer sababu uwezi wa kudukuliwa labda mtandao wasome meseji zao na kutrack IMEI.