Hivi ndugai amesomea nini? bunge litakuwa limebadilishiwa mtu halafu hawana taarifa au hawajagunduaHivi sijui.kwanini CCM mara zote huwa hawajibu hoja badala yake humshambulia mtu na kuacha hoja za msingi. Sasa ukisikiliza majibu ya Ndugai utaamini kuwa ni mtu mwenye sifa ya kuwa spika wa bunge? Mbona ni kama mjinga fulani asiyekuwa na elimu yoyote kichwani?
Naunga mkono kauli zote zilizotolewa zenye kuonyesha Ndungai ni mwepesi , amekosa umakini hana tena thamani mbele ya jamii,
amelewa madaraka anabwabwaja pumba mbele ya jamii iliyoelimika na inajua hila na ngiriba za chama chake na serikali yake
Vituko vya Katiba ya Magufuli dhidi ya jamuhuri,tutafika tu
Ndugai anatuaibisha sasa sisi Wagogo yaani.Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
CCM walimwita Bibi Kidude, tasa na msagaji kwa maana ya shoga. Hapo una twambiaje mkuu?
Mbona unaongea kama malaika? Jamani hadi raha kwa huu uandishi wako....hongera pia kwa wazazi/walezi wako kwa kukulea vyema. Hakika unastahili kuitwa majina yote mazuri.Kaandika Bibi Happy
MBOWE NI NANI?
Kwa hiyo Mbowe ni Kamati kuu ya CHADEMA? Au Mbowe aishurutishe kamati kuu?
Ngoja kwanza....
Kwamba Mdee alivunjika akiwa anazungumza na Mbowe? Au Bulaya ALIPIGWA na Mbowe hadi akazimia? Au Matiko alilazwa kisa alifumwa na Mbowe? Yaani MBOWE ni nani jamani hata hakamatiki akipiga hawa wanawake?
Kwamba Nusrat aliwekwa mahabusu na Mbowe sio? Kwamba Mbowe alimweka huko ili afie magereza? Wow! Kwamba Mbowe ANAMILIKI magereza, mahakama na wanasheria wote? Wow!
Sasa mkuu, mbona sijaelewa? Kwamba wabunge hawa wapewe nafasi kwa kuwa MBOWE amewanyanyasa? Kwamba ofisi ya BUNGE inawatambua kwa kuwa ndiyo ILIYOAMUA wapewe nafasi hizo?
Kama kweli wabunge hawa HAWAKUJITEUA na walitokana na uteuzi RASMI toka CHADEMA, je, haimaanishi kwamba CHADEMA ILIWAJALI? Kwa nini CHADEMA iwape nafasi halafu IWAFUKUZE uwanachama?
Je, kauli zako hizi zinathibitisha kuwa hawa wabunge HAWAKUTEULIWA na CHADEMA?
Nani aliyemtoa NUSRAT mahabusu? Kama ni CHADEMA ILIMTOA ILI AKAAPE, kwa nini huoni hili ni jambo jema? Kama CHADEMA walimtoa huko mahabusu, unataka kusema CHADEMA ndio wana nguvu ya kumtoa mahabusu yeyote wanayetaka? Hii inaleta picha gani kwa huu mhimili mkuu wa serikali?
Kwamba ALIYEMTOA Nusrat ili akaapishwe, alikuwa ANAMWEPUSHA na unyanyasaji ambao MBOWE aliufanya?
Basi, ni NANI huyo ALIYEMTOA AKAAPE ILI ASIFIE MAGEREZA kama alivyotaka Mbowe ?
Bado najiuliza, MBOWE NI NANI KATIKA NCHI HII? Spika anamlalamikia tu, hata hamfanyi kitu.
Aliyeelewa anieleweshe...
Its so confusing.
Ule moto unaowaka kwa ajili yao kule jamhuri ya twitter lazima awe mkimbizi kwa muda. Watu kama nawaona vile😁😁Ivi mbona Halima hainekani kwenye twitter? Au yupo likizo??
Huyu jamaa anadharirisha sana wagogo huko. Yaan anafanya watu wa huko waonekana hawana akili ni njaa tu.Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
Ila kwenye mialiko ya matamasha yao wastaafu wamo,naona jamaa anataka kuwafunga mdomo akina Warioba na Msekwa.Kuwaambia waandishi wa habari wasiende kuwahoji wastasfu akina Msekwa kwamba hawajui mambo yalivyobadilika imenitia shaka kidogo!
Kama Lowasa tu...fisadiii. aaaa mgonjwa..sio fisadi.ni mtu mzuri..And two wrongs makes it right???
Kama CCM walikuwa wanamtukana
Sasa zamu ya CHADEMA kumtukana?
Really??
Ndungai sasa ni dhahiri anachepuka na Bulaya kwa mjibu wa Msiri wa CCM le mutuz , Ndungai kajitoa fahamu anawatetea covid 19 kwa njia haramu za kishetani kisa Demu wake katolewa kafara kwa upumbavu wakeBwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia.
Malisa GJ
Mosi; Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Mzee Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge, wafadhili wanaweza kugomea kutoa yale matrilioni.
Pili; Mzee Halima na wenzake hawakupigwa kwa ajili ya Mbowe. Walipigwa kwa sababu ya kutetea haki zao. Walipotolewa Segerea askari magereza waliwapiga kama vibaka kwa sababu tu walienda kupokelewa na wafuasi wao. Mashinji alipokelewa na msafara wa wafuasi wa CCM wakiongozwa na Chakubanga lakini hakupigwa. Double standards. Kama kweli Ndugai ana uchungu angewakemea wale askari waliofanya unyama ule sio Mbowe.
Tatu; Mzee Halima na wenzake hawajafukuzwa bila kusikilizwa. Walipewa haki ya kusikilizwa (audi alteram partem) lakini wakakataa kuitumia. Waliitwa kwa maandishi kwenye kamati kuu ili wasikilizwe wakagoma. Sasa Bwana Ndugai alitaka chama kifanyeje? Hata mahakamani mtuhumiwa akikataa kujitetea bila sababu za msingi, mahakama hulazimika kuamua kwa kusikikiza upande mmoja.
Nne; Maamuzi ya Chadema hayakufanywa na Mbowe. Yalifanywa na Kamati kuu ambayo ina wajumbe zaidi ya 40. Ni ujinga kuamini wajumbe wote hawakua na sauti isipokua Mbowe peke yake. Ndugai elewa kwamba Mbowe sio kamati kuu ya Chadema.
Tano; kumbe Ndugai anajua Mzee Halima na mwenzake walipigwa hadi wakazimia pamoja na kuvunjwa mikono na askari magereza? Unyama huu aliwahi kuulaani popote? Aliwahi kumuita Kamishna Mkuu wa Magereza kwenye kamati za bunge ajieleze kwanini Askari wake walifanya unyama ule tena kwa wabunge wanawake? Au aliona ni sawa tu kwa sababu walikua Chadema. Leo wamefurushwa ndio anasikia uchungu.
Huu utaratibu wa mtu kuonewa lakini unakaa kimya kwa sababu sio wa chama chako sio ubinadamu kabisa. Ningemuona Ndugai ana hoja kama angekemea tukio lilipotokea. Sasa Mzee Halima ameshapona na kusahau ndio Ndugai anasikia uchungu leo? Haina tofauti na mkeo kulia kwa uchungu na kukuomba msamaha kwa sababu ya vita vya majimaji eti babu yake alishirikiana na wakoloni kuwapiga wazawa. Wendawazimu.!
Wewe ndiyo kiganga njaa kwa kutetea upumbavu wa covid 19 wanandungai kwa njia haramu za kishetaniMalisa ni kaganga njaa fulani