Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

Mingi sio tija kitaifa labda tu Kama ni sehemu ya kupigia lala salama hii
 
Changu wa madoa acha utoto. Huoni sababu za msingi. Unaona zipi? Unajua umbali? Dar mpaka terminal 3 wakati Kibaha au Kisarawe hakuna uwanja! Pengine huo uwanja ungejengwa Geita ingeeleweka. Hata ungetupwa Katoro bado shida ingekuwepo. Tunazungumzia uwanja wa kimataifa! Chato hata wa wilaya si muafaka. Kete ya Katoro hiyo. Tena acha ufala Geita si Chato. Hovyo!
Hivi unavijua vigezo vya uwanja wa kimataifa?
Au unafkiri kwa kutumia reverse?
 
Ipo haja ya waafrika tuanze upya mapambano ya kudai upya Uhuru toka kwa Hawa wakoloni weusi wanaotufukarisha,heri ya hata ya wakoloni weupe walituletea maendeleo
 
Kijiji kimoja kijulikanacho kama Chato ndani ya miaka mitano kimefanyiwa yafuatayo tofauti na kijiji kingine chochote Tanzania:-

1. International airport imejengwa
2. Taa za kuongozea magari barabarani zimewekwa.
3. Chuo cha utumishi wa umma kinajengwa.
4. Uwanja wa kimataifa wa michezo unajengwa (kijijini!)
5. Mabenki yamejengwa
6. Hospitali ya kimataifa ya rufaa inajengwa.
7. Mbuga ya kimataifa ya wanyamapori imeanzishwa.
8. Dhifa za kitaifa za kuwapokea wakuu wa nchi na serikali zinafanyika.
9. Viongozi wakuu wa nchi wanaapishwa.

Ni katika kijiji kipi kingine Tanzania japo robo ya hayo yamewahi kufanyika? Halafu huoni tatizo? Hata kama ni kunywa maji ya kijani sio kwa upofu huo!
Baada ya kushindwa kuyafanya hayo nchi nzima kaona heri ayafanye huko
 
Hivi unavijua vigezo vya uwanja wa kimataifa?
Au unafkiri kwa kutumia reverse?
Wewe ndiye msemaji (sauti) ya changu wa madoa? Kwani wewe usiyefikiri kabisa, vinginevyo kufikiri kutakosa maana, Chato ni uwanja wa kimataifa au hapana? Wametua Wang na Nyusi na waliishatua Museveni na Kenyatta hata kama ni kwa kulazimishwa. Anatua sana JPM, aliyekuwa m/kiti wa SADAC(international)!
 
Back
Top Bottom