Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Sasa, huyu jamaa alisoma degree kwa mkopo WA serikali ili aje aendeshe bodaboda au aajiri watu awe meneja WA kampuni yake??
Woi Sijui watoto mtakua lini?!
Kusoma kwa wengi lengo lao huwa ni baadae apate ajira hamna mtu atasoma amalize ajiajiri kama ni hvyo hakuwa na haja ya kusoma angeanza mapema akajiajiri ila huyo pia nae anaendesha boda huku akisubir ajira ko ukisema amuache na akipata ajira ndo ampende au akiacha kuendesha boda ndo ampende hapo ni kukubali hali iliyopo tu kama anajiamini na anamuamini mpenzi wake waendelee huku wakijitafuta kvingne maisha yako tight sana mkuu
 
Nikuulize?! Ivi huyu jamaa alisoma degree kwa mkopo WA serikali ili aje aendeshe bodaboda au aajiri watu awe meneja WA kampuni yake??
Woi 🚶🚶
Sijui watoto mtakua lini?!
Kampuni yake?bila kuanzia popote pale, ghafla bin vuuu hadi kwenye kumiliki kampuni?labda awe na ndugu wenye pesa.au atoke ukoo wenye DNA ya hela
 
Mwambie eliza kanikera vibaya mnoo
Ukiondoa degree ambayo hata cheti cha darasa la Saba kinanafuu anabakia na INTELLECT ambayo ni sifuri[Hana creativity,resilience and determination] Hawezi hata kujinunulia taulo ya kike halafu anamdharau bwana yake boda boda? Eliza Hana sifa za kuwa hata mke wa m..... Hakuna hali inayodumu ktk Maisha ya mwanadam.


Sent from my M2103K19G using JamiiForums mobile app
 
Apa kila mtu kipengele kishambana😂😂
Wabishi kama kawa wanakomaa kutoka kwenye kibano
 
Acha kuhukumu bwana hajasema hawez nunua Taulo ya like
 
Kampuni yake?bila kuanzia popote pale, ghafla bin vuuu hadi kwenye kumiliki kampuni?labda awe na ndugu wenye pesa.au atoke ukoo wenye DNA ya hela
Watu wanafungua kampuni Kila siku na wanaajiri watu
Mfano: mwuza genge, mahindi ya kuchoma😂
 
🙄🙄🙄🙄Hiki kipengele kirudiwe🤣
 
TAFUTA HELA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…