Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Mnunulie guta
 
HApana kwa sababu mimi mhuni. Huwa siumizwi wala kufikirishwa na mafanikio ya waliokuwa washkaji. Mimi maisha nayachukulia simpo simpo kama kucheza draft hayanichanganyi kabisa. Yakinishinda narudi arumeru kuzika pumbu.
We utakuwa unakata miti Kwa ajili ya kuuza mbao kama haugemi nazi 🚶🚶🚶🚶🚶
 
We nae una nyuzi nyingi mno
 
Umenikumbusha hii kitambo.
Huyu bwana ashakua mkulungwa lazima anacheza kwenye 60's. Money Penny ulikua ushazaliwa kweli? Maana wengine ndiyo tulikua tunamaliza sekondari wakati huo.
Weee me nilikuwa chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…