Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku
Mnunulie guta
 
HApana kwa sababu mimi mhuni. Huwa siumizwi wala kufikirishwa na mafanikio ya waliokuwa washkaji. Mimi maisha nayachukulia simpo simpo kama kucheza draft hayanichanganyi kabisa. Yakinishinda narudi arumeru kuzika pumbu.
We utakuwa unakata miti Kwa ajili ya kuuza mbao kama haugemi nazi 🚶🚶🚶🚶🚶
 
Dear Money Penny

YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA
Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni.

Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta.

Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu.

Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO walishaolewa na kuzaa na KAZI wanazo.

Nimevumilia lakini dadangu akaniambia tafuta bwana angalau uzae UMRI unaenda.

Siku Niko kwenye fellowship nikakutana na Kaka mmoja mlokole mwenzangu, nae NI graduate lakini Hana ajira
Amenunua bodaboda Kwa mkopo WA kampuni ya "WATU" pale Tegeta ndio anafanya nayo biashara apate kipato

Lakini ni mwaminifu, ananipenda mno na KAOKOKA,

Hatujawahi zini, Ila naogopa Sana kuolewa nae, maana kipato chake NI bodaboda Tu naona aibu mpaka aje kununua gari haya maisha yatakuwaje?

Kweli money penny bwana wangu anaendesha bodaboda lakini naona aibu kumtambulisha kwetu, ananipenda Sana nifanyaje??

Wako
Eliza."

Jamaa. Eliza anaomba msaada huku

View attachment 2724672
We nae una nyuzi nyingi mno
 
Back
Top Bottom