Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kituko,nitajie mwekezaji yeyote wa maana hata mmja aliyekuja zama za Mwendazake.

Kama Mwendazake alileta wawekezaji Rais Samia atasemaje Sasa maana huyu ni noma..

Zama za Jiwe kukuta takwimu kama hizi ambazo hazina utata ilikuwa ni haiwezekani

Bela mwendazake msingejenga bwawa laumeme ata mama alisema alijitoa muunga ata pale mlipo ends ujerumani kushitaki kudadadeki chuma kilisimama ,nyie mgeogopa mwamba yule kajenga sgr ingawa waloli naisi awakupenda chuma kile akunaga
 
Kwanza ni too expensive hakuna mtu mwenye akili aache gas aanze limradi expensive kama hilo
 
Kwanza ni too expensive hakuna mtu mwenye akili aache gas aanze limradi expensive kama hilo
Tuna kinyerezi one two mpaka three aya tuambiwe imepunguza garama za umeme kiasi gani za unit ,lengo la chuma bei ya unit ishuke by otuba yake wakati wa kuweka jiwe la msingi, sio umeme wa uwakika tu Bali na ghalama zishuke , Watu tupikie ,tumulikie ,tuanzishe viwanda vidogo ,Akili kubwa Ile chuma kama chuma
 
Uchungu na Nchi Kwa kujenga kameli la bil.109? Unajua gharama ya kujenga km 32 tuu za dual carriage way inagojengwa Mbeya wewe?

Kati ya Samia ambae atatujengea Tanzam njia 4,Express way Dar to Morogoro, Dodoma Ring Road nk nani ataandika historia inayoacha alama?

Utajaza mwenyewe, JPM ni wa pekee, ache wengine muige
 
Back
Top Bottom