Hapo hujui nini sasa, hujui ben saanane aliuaw, huji lisu kilichompata, hujui azroy alipo, hujui mawazo alipo, hujui Mo alitekwa, hujui benk pesa zilichotwa, hujui plea bargain ya zaidi ya 50b zilienda wapi.Ndio nini hiki umeandika wewe ngumbaru!
Alikuibia shingapi? Tuwekee uthibitisho.
Ni awamu ipi ama nchi gani ambayo hainunui malighafi kwa mabeberu?
Tuthibitishie.
Hii nchi tatizo la elimu ni kubwa sana aisee.
Dikteta uchwaraHuyu hapa jpm alikuwa kuna kitu ananuzaView attachment 2389266
He!Chuki zenu dhidi ya JPM ni humu jf tu...
Huko mtaani wanampenda kinomanoma.
Ndio uthibitisho huu?Hapo hujui nini sasa, hujui ben saanane aliuaw, huji lisu kilichompata, hujui azroy alipo, hujui mawazo alipo, hujui Mo alitekwa, hujui benk pesa zilichotwa, hujui plea bargain ya zaidi ya 50b zilienda wapi.
Hujui ukilipa sana manunuzi toka nje kwa fedha nyingi kwa wakati mmoja uchumi wa ndani unazorota na mzunguko wa fedha.
Kama kweli hujui.
Nakusamehe
Mbona Makonda alimpenda na hana vyeti.Sasa mtu alitimuliwa kwa vyeti feki atampendaje magufuli
Kwa taarifa tu uchumi wa nchi unaporomoka kwa harakaMagufuli amejenga uchumi wa nchi hii. Mungu amlaze pema mbinguni.
Kama hakuwa na ushahidi kwanini alim-eliminate? Si angeamuru tu apelekwe mahakani atoe ushahidi akishindwa afunguliwe mashtaka.kwa hiyo ben saanane alikuwa anaijuwa elimu ya jpm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama alihoji hakuwa na ushahidi wa kutosha kujuwa kama ni msomi au siyo msomi kwani ben alikuwa ninani hadi awe na taarifa za kutosha kuhusu elimu ya jpm
Watu wanamkataa shetani na wanazini kila siku, kupanga ni kuchagua.Ukimkataa shetani kataa na matendo yake yote mpumbavu wewe.
Hao hawakosekani kiongozi Ila JPM n nafsi inayoishi aiseeeweKuna mtu atakuja hapa ili abishe tu
Ilifanyika Kama mbao za madawati ya watoto masikini....au ulidhani ameila miti na familia yake.....????Alipeleka wapi miti iliyokatwa kwenye eneo hilo? Au ndio katika hayo hayo ya kutokujali watakaohoji?
Ndio kwani kuna tatizo mahala?Wewe utakuwa ni Makamba mwenyewe.
Uko na uhakika alimpoteza Saa8......???Kama yeye alikuwa na vyeti halali kwanini alimpoteza Bensàa8
Pia nmeshangaa Sana jamaa analeta hoja nyepesi kwa vitu za msingikwa hiyo ben saanane alikuwa anaijuwa elimu ya jpm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama alihoji hakuwa na ushahidi wa kutosha kujuwa kama ni msomi au siyo msomi kwani ben alikuwa ninani hadi awe na taarifa za kutosha kuhusu elimu ya jpm
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukimkataa shetani kataa na matendo yake yote mpumbavu wewe.
Mtaani kwetu hapendwi kabisa labda mtaani kwenu, hawa hawa wa JF wanaomchukia ni watu mitaani kwao na walimchukia kwa matendo yake yaliyakuwa yamejaa uovu mwingi.Chuki zenu dhidi ya JPM ni humu jf tu...
Huko mtaani wanampenda kinomanoma.
.Alipeleka ufipa na mingine ubeligiji.
ni suala la muda ona unavojing’ata nga’ata ! una disi na kukubali 😀😀Magufuli alikuwa ni takataka japo kwenye bwawa na sgr nilimuunga mkono.
sawa kwene mtaa wa wajinga jambo la akili linachukiwaMtaani kwetu hapendwi kabisa labda mtaani kwenu, hawa hawa wa JF wanaomchukia ni watu mitaani kwao na walimchukia kwa matendo yake yaliyakuwa yamejaa uovu mwingi.
Uko na uhakika alimpoteza Saa8......???