Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

Naomba nikusahihishe mkuu! Fedha ya ujenzi wa SGR toka Dar - Morogoro haina mfadhili ni kodi yako alafu fedha ile haizidi ni kama Trillin 4 hivi na haijatoka kokote na hatutegemei kutoa kokote zaidi ya fedha zetu za ndani, Mchina tumeshindwana kwenye masharti yake Rais akaona aanze mwenyewe ndiyo akaja Standard Charted kutukopesha, Kipande cha Moro-Dodoma ni Trillio n 3 hivo kufanya jumla ya Trillion 7 toka Dar to Dodoma na mkataba wa hicho nkipande cha pili ushasainiwa tayari kabla ya Ctandard Charted kutupatia mkopo. Yarp Markez kama kawaida atashulikia hapo.

Mkuu nashukuru kwa kujitolea kunielewesha. Sasa fanya hivi, naomba kusanya taarifa vizuri kuhusu huo mradi ili nikihitaji maelezo ya ufafanuzi usipotelee hapo katikati. Mwanzo kabisa wa mradi wa SGR walisema Dar-Moro ni 1t na ni fedha za ndani.
 
Mkuu nashukuru kwa kujitolea kunielewesha. Sasa fanya hivi, naomba kusanya taarifa vizuri kuhusu huo mradi ili nikihitaji maelezo ya ufafanuzi usipotelee hapo katikati. Mwanzo kabisa wa mradi wa SGR walisema Dar-Moro ni 1t na ni fedha za ndani.
Mkuu narudia tena mradi wa SGR kutoka Dar mpaka Morogoro ni Trillion 4.3/= na kutoka Morogoro mpaka Dodoma - Makutopora ni Trillion 3.3 jumla kufanya ghalama za ujenzi toka Dar mpaka Dodoma ni Trillion 7.6.
Kazi kubwa iko Dar-Moro sababu ya ujenzi wa madaraja ya juu kama gerezani pale kama umepaona na Station kuu, pia eneo la Morogoro watapasua ile milima kujenga kama mahandaki reli itapita katikati ya milima yanii wanatoboa ile kama tundu.
 
Sasa hapa umeandikaje ikiwa hakuna demokrasia?
Democracy kwa tafsiri ya ufipa ni kutukana matusi ovyo, kuitisha maandamano yasiyo na tija yyt.Hiyo democracy isingekuwepo, hii jf kwa matusi ya humu ingekua imefungwa mda sana.
 
Maendeleo bila demokrasia ni sawa na kusema Tanzania tuna mbuzi milioni 50 wakati wanaokula nyama ya mbuzi hawazidi hata milioni 5, this is nonsense

Nawapongeza Wachaga wote ambao wameuweka ukabila pembeni na kuungana na JPM katika kujenga uchumi wa nchi. Kongole Mzee Mengi.
 
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.

Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.

Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.

Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.

Hii ni kampuni ambayo kwa kushirikiana na kampuni ya Urusi imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.

Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
ONLY TIME WILL TELL US , CHEAPER THINGS HAVE GOT HIDDEN COST
 
Back
Top Bottom